Yaliyojiri msiba wa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif

Hahahaha
Membe bhana alikuwa na biti kwenye uchaguzi utadhani yule mwanapropaganda wa sadam Hussein enzi za vita na marekani.

Alinifundisha kuwa Jasiri kwenye uongo au jambo ambalo najua kabisa haliwezekani
 
Najaribu kuangalia maazishi ya makamu wa kwanza wa rais wa Zanzibar Ndg Maalim Seif nimegundua jambo moja.Kwakweli ndugu zetu waislam taratibu zao za maziko ni za hovyo kabisa...
Pole sana, wewe ulitaka wazike wiki ijayo, ili iundwe kamati ya mazishi, kamati ya mashada, kamati ya nguo za maiti, kamati ya sanduku la kuzikia, kamati ya chakula pilau, wali mweupe, kamati ya usafiri, kamati ya kwaya mapambio, kamati ya usafiri, utasubiri sana!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom