Yaliyojiri Msafara msiba wa Ruge: Airport - Tazara - Buguruni - Bomani - Magomeni - Tandale - Sinza - Bamaga - ITV - Clouds - Lugalo

Kwa salamu alizokua akipewa RUGE azifikishe kwa kina Nyerere na waliotangulia,salamu ambazo walioweza kupata nafasi ya kuongea walizitoa Utapata picha ni jinsi gani watu (hasa viongozi wetu) ambavyo hawana amani na Maisha ya sasa,ni basi tu hawawezi Kulia kama watoto ila laiti angetokea Mtu akawarudisha wakawa watoto hakika wangelia machozi ya kuungulia kwa Nchi yetu inapoenda...Watu hawana amani wanatamani hata Nyerere arudi tu mara 1 au SOKOINE au wote waliotangulia waone Nchi waliotuachia ilivyobadilika sasa.
 
Mwendo unemaliza, tumekupa heshima ulale katika Udongo mzuri Rugemarila Mutahaba
 
Jamani ifikie hatua hawa Wasanii wanaolalamika kuonewa na Ruge Mutahaba waseme waziwazi kile kilichotokea nasi wengine tufahamu ukweli kabla hawajaondoka vingenevyo tutaandika tunavyofahamu
 
Pale Iringa alitwaliwa diwani wa chadema mh Kalolo msafara wake ulianzia Iringa mjini hadi Kalenga tena na ulinzi wa polisi, so hii ni kawaida sana labda nyie huko Machame ndio mna siasa za kizamani za kibaguzi.

Maendeleo hayana vyama!
Ila wa Ndesa pesa RIP ulihatarisha amani lakini pia kuvaa Tshirt ana kufanya dua na maombi kwa TL pia zilikuwa hatarishi!!!

UNAFIKI MTUPU
 
Swali zuri. Hiyo route ya kusikitisha mwili, hata Nyerere hakuagwa hivyo! Sasa labda tujuzwe kujua zaidi mafanikio ya Ruge (RIP) zaidi ya kwamba alikuwa muandaaji wa kipindi Clouds!
KUSIKITISHA MWILI DOOH
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom