Yaliyojiri Msafara msiba wa Ruge: Airport - Tazara - Buguruni - Bomani - Magomeni - Tandale - Sinza - Bamaga - ITV - Clouds - Lugalo

Kwako ni kupoteza muda kwa wenzio ni mahaba na mapenzi ga mpendwa wao hao walikaa barabarani hawana tofauti na anayeangalia TV kama kweli yuko serious basi aangalie "This week in Perspective" au Je tutafika

Acha tupoteze muda..kingine Chinga wamachinga hawanaga roho mbaya bwanaaaa....

Ruge ni Ruge na atabaki kua Rugeeeeeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani, hivi wale kwenye kipindi cha this week in perspective huwa wanaongea nini? Na wanatumia lugha gani? Sijawahi kuwaelewa wale wazee na siangaliagi tena hicho kipindi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The bad thing
Ukifa, umepotea kabisa
You have no sense or any capability
Tuoneshane upendo tukiwa hai, pia kusaidiana.

Remember, Tupac aliishi 25 years only na hadi huku swekeni tulimjua bila hata instagram.

Alivyokufa baada ya kumchoma, washkaji zake wakachukua majivu yake wakachanganya ktk bangi wakamvuta. He was nothing after death.

Sisi sote ni marehemu watarajiwa
 
Hili la watu kutokuwa na shughuli za kufanya ni kweli, hasa likitokea tukio lililo nje ya ratiba utakuta nyomi ya watu wapo tu, ili mradi wanajazana tu na kuongea tu...

Jana njia ya Goba ilitokea minor accident, in a minute watu walijaa, watu wapo tu ili mradi waangilie, zaidi ya nusu saa wapo tu na hakuna cha maana kinachoendelea. Matola yupo sahihi, pamoja na kuomboleza, wengi tupo tu ili mradi maisha yapo..
 
Hata we ukifa watakuja kukusindikiza kaburin km hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili la watu kutokuwa na shughuli za kufanya ni kweli, hasa likitokea tukio lililo nje ya ratiba utakuta nyomi ya watu wapo tu, ili mradi wanajazana tu na kuongea tu...

Jana njia ya Goba ilitokea minor accident, in a minute watu walijaa, watu wapo tu ili mradi waangilie, zaidi ya nusu saa wapo tu na hakuna cha maana kinachoendelea. Matola yupo sahihi, pamoja na kuomboleza, wengi tupo tu ili mradi maisha yapo..
Watu wanapenda kupinga kitu bila fact, mfano siku ya kazi Rais anazinduwa mradi fulani sehemu fulani Dar hiihii saa za kazi na watu wamejaa nyomi hivi huwezi kuliona hili kama ni tatizo? Binafsi Magufuli akiwa Rais sijawahi kumuona ana kwa ana namuona tu kupitia vyombo vya habari, na hata Ruge sina ugonvi naye wala ubaya naye ila sitokwenda kumuaga, priority yangu ipo Jakaya Kikwete Cadiac institute pale nina mgonjwa wangu huko ndiko nitakalodivert my time, otherwise leo ningeshinda ndani tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwako ni kupoteza muda kwa wenzio ni mahaba na mapenzi ga mpendwa wao hao walikaa barabarani hawana tofauti na anayeangalia TV kama kweli yuko serious basi aangalie "This week in Perspective" au Je tutafika

Acha tupoteze muda..kingine Chinga wamachinga hawanaga roho mbaya bwanaaaa....

Ruge ni Ruge na atabaki kua Rugeeeeeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
Cheers

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kifupi msafara wa kupokea body ya Ruge utaanzia pale Air port utapita Vingunguti, Tazara hadi Buguruni kisha Amana hadi ofisi ya mkuu wa mkoa then Magomeni, Tandale, Sinza, Ipp hadi Clouds ambapo wafanyakazi wa CMG watatoa last respect.

Kutoka hapo watapita Mlalakuwa ,Maringo hadi Tanganyika Packers Kawe ambapo wakazi wa jimbo la Kawe watatoa salaam zao na baada ya hapo body itapelekwa hospitali ya jeshi Lugalo kuhifadhiwa.

Source Clouds tv!

Rais Magufuli tafuta suluhisho hili la vijana kuwa na kazi yaani hata kuzoa takataka mjini wapate kulipwa mwisho wa mwezi. Angalia taifa la kesho linavyoshupalia mwili wa marehemu, jamaa hakuwa shujaa wala nini bali ni kijana tu wa mjini aliyetumia madaraka yake kiunyanyapaa na kudhalilisha wanawake. Kama hawa vijana wangekuwa na kazi sidhani kama wangeandamana hapa.
 
Upo sahihi sana kiongozi, an idle mind.....! Sema hapa utapopolewa mawe kisa tu tunaongelea kifo, huwa tunaogopa habari za kuwasema wafu.
 
Nadhani sasa ushapata majibu,hatubahaishi kutoa taarifa
Asante nimeiona.Chibu kachana mikeka ya watu wa Instagram.
lll.PNG
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom