Yaliyojiri Msafara msiba wa Ruge: Airport - Tazara - Buguruni - Bomani - Magomeni - Tandale - Sinza - Bamaga - ITV - Clouds - Lugalo

Ruge leo nimejua ulikua nani aisee nchi imezizima wale watu niliowaona na shuhuda za ulio wasaidia, watu waliokufa ingekua wanakaa baada ya muda wanarudi ungenikuta mlango wa ofisi yako ili tu ukirudi niwe wa kwanza na mimi kupata hekima zako, I salute you ruge rest in eternal peace brother Rugemalila Mutahaba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amina sana pole sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani Ruge wanayemnena waovu ni tofauti na Ruge ambae Leo anaongelewa

Huyu baba haijawahi na haitakaa itokeee kwa kipindi hiki hapa Tanzania
Ruge leo nimejua ulikua nani aisee nchi imezizima wale watu niliowaona na shuhuda za ulio wasaidia, watu waliokufa ingekua wanakaa baada ya muda wanarudi ungenikuta mlango wa ofisi yako ili tu ukirudi niwe wa kwanza na mimi kupata hekima zako, I salute you ruge rest in eternal peace brother Rugemalila Mutahaba.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waliokufa wamefungwa midomo ya mwilini na rohoni. Wamelala fofofofo. Wataamshwa siku ya kiama kwa hukumu ya peponi au ya motoni.

HAKUNA ANAYEMPELEKEA SALAMU MWINGINE KUZIMU.

Mwenye lake aongee akiwa hai. Amwambie mtu akiwa hai.
Unafikiri wote tunaamini katika maandiko yako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makonda yupo nyuma kwenye msafara uliombeba hayati Ruge, anaona yanayotokea upendo wa watanzania kwa hayati Ruge, sijui kama anajiuliza kama siku na yeye akiondoka atapewa heshima kama anayopewa hayati Ruge au tutaona mzigo umeondoka, naamini kwa nafasi yake naamini anaweza kuwa kama Ruge akaunganisha watu bila kujali hali zao akasambaza upendo, unyenyekevu na kusaidia wengine kwa moyo mmoja... #Rip Ruge

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzigo utaondoka tu hakuna namnaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwako ni kupoteza muda kwa wenzio ni mahaba na mapenzi ga mpendwa wao hao walikaa barabarani hawana tofauti na anayeangalia TV kama kweli yuko serious basi aangalie "This week in Perspective" au Je tutafika

Acha tupoteze muda..kingine Chinga wamachinga hawanaga roho mbaya bwanaaaa....

Ruge ni Ruge na atabaki kua Rugeeeeeeeee
we kweli una akili ndogo sana,unaweza ukawa kazini kwako unaendelea na shughuli zako huku TV iko on....kwenda barabarani kushangaa msafara wa Ruge ni kupoteza muda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wasanii mliokuwa Hamfanikiwi kwa Sababu mnanyonywa na Ruge, Ruge Amefariki, Hayupo.. sasa tunasubiri muanze kuchukua tuzo za BET na majumba yenu yarushwe hewani MTVbase..!! Au atatokea mwingine wa kunyonyaaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Muda wote huu tokea ameumwa ? Hakuna cha Ruge wala nini .wao pia wanamakosa makubwa labda Ruge aliwaambia ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The best comment I've searching.
Waliokufa wamefungwa midomo ya mwilini na rohoni. Wamelala fofofofo. Wataamshwa siku ya kiama kwa hukumu ya peponi au ya motoni.
HAKUNA ANAYEMPELEKEA SALAMU MWINGINE KUZIMU.
Mwenye lake aongee akiwa hai. Amwambie mtu akiwa hai.
 
You can say this again 1 billion times Mkuu. Huyo mhutu dhalimu ni mtu hatari sana.
🙏🏽🙏🏽🙏🏽👍🏽

Jiwe ndio kaharibu mshikamano wa nchi yetu fullstop. Na hao viongozi wa ccm kwenye huo msiba wameenda kuutia najisi tu.
 
THANKS BROTHER RUGEMARILA MUTAHABA , FOR YOUR CREATIVITY AND INNOVATIVITY , FOR SURE YOUR 49 YEARS STAY UNDER THIS SUN HAS LEFT SOMETHING TO REMEMBER.....................................................................................
REST IN FOREVER PEACE .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom