YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

Pole bwana na kaa ukijua siasa ya hao wanatutukana muda wote ni wajaa jazba.
Jipange huu ni wakati mgumu sana ni wakati ambao watawala watatumia hila za kila aina kukaa madarakani na huenda jirani yako akawa adui yako
Hata kobra akiona Hatari ya kufa huwa mbogo ucpime
 
Kwa matusi haya Lowasa hasipofunguka kuhusu Richmond siku ya ufunguzi wa kampeni na kutuletea Balali Tanzania kura yangu kwa Magufuli
 
Ni kweli kwa sababu sielewi kwa nini hamuelewi nina upumbavu kuhusu kuielewa Ukawa na Chadema....na sijui utaisha lini huu upumbavu wangu.

Kuna tafauti kati ya mpumbavu na mjinga. Sijui kwa maana ipi unakubali kuwa ww ni mpumbavu kwa namna ulivyojieleza....
 
Makongoro Nyerere anapanda Jukwaani na kusema Kofia Oyeee....na wewe unajibu Oyeeee,,,,Miwani Oyeeee...unajibu Oyeeeee,,,Kifimbo Oyeee....unajibu/wanajibu oyeeee.....akili kama hizi ndo maana viongozi wa nchii hii wanatuona mazezeta kweli kweli.....Watanzania lazima tujue vitu vingine sio vya kushangali kabisa ni ujinga.
 
wewe ndo unaona uzalilishaji wa warioba ,vipi uzalilishaji wa watanzania mwembeyanga zidi ya ushaidi wa richmond,slaa,mnyika,lema,,walioba anajua magufuli ni mtu wa aina gani hakuja wa kuongopa mtu waliyokubaliana na magufuli wanajua wao kwa heshima ya warioba na magufuli,

nadhani ungewatukana walituzalilisha sisi tulikuwa mwembeyanga n Arumeru nyaraka mkononi za wizi wa richmond,ungeanza nahao then ungekuja kwa warioba,


Unadhani Magufuli atafanya nini? Huyu ni mtu ambaye mpaka leo anaona kama kapewa favour. Ni mtu ambaye hakuwahi kuweka Juhudi yoyote kupata urais. Ndo maana unamuona mtu kama Mkapa, mtu ambaye alikuwa hawezi hata kufika kwenye sherehe za kitaifa kwa kuogopa kuzomewa, leO anajidai shujaa na kutukana kwenye jukwaa eti pumbavu. Mkapa ni hopeless animal!

Warioba anaweza kumshabikia Magufuli bila kujua kwamba anamshabikia Mkapa? The hopeless,shameless thieving president? Eti hata Mwinyi na sheni nao leo walikuwa na vijembe. Very useless CCM! Ndo maana mijitu kama hii inakatwa makofi.
 
Kwa tafsiri ya Mkapa ni kwamba malofa na wapumbavu hawastahili ukombozi/mabadiliko...
 
Ni kweli lakini tunafanyaje? Hatuna jinsi

Ndio hivyo, yeyote atakayekuwa anakuvutia we mpe kura (kula) lakini sidhani kama tunaweza kutegemea mabadiliko ya kweli. Makufuli tunasema na tunaamini kabisa yupo kwenye Chama chenye mafisadi na yenye mfumo mbaya, Lowassa naye tunasema na kuamini kwamba ana watu wengi sana wanaompa support kubwa kifedha ila baadae wapewe chao. Sasa hapo Mtanzania wa kawaida unategemea nini zaidi ya kubaki kushabikia tu na kupiga kelele na kibaya zaidi kutukanana wenyewe kwa wenyewe na kibaya zaidi kuendelea kufanywa mtaji.
 
Hivi ninyi mashabiki wa Lowassa shule mlikwenda kweli?? Unaelewa maana ya neno "makapi" hivi wewe unaelewa hasa maana ya neno "oil chafu"??? Rudi shuleni Mjinga wewe ukasome upya kwani elimu haina mwisho.

Ndio maana leo Mkapa amewaita viongozi wenu ni Wapumbavu, nalo hilo mtasema ni tusi. Kweli Tanzania kazi ipo sana. Shida yenu ninyi wafuasi wa Lowassa ni viroba ndio vinawaharibu.

mkuu tatizo lao ni nini kununuliwa tu,baada ya kujikita kwenye weredi wa kupata elimu wanatengemea ajira walizopewa humu ,aslimia 75% ya muda wao ni kipi kimeletwa humu zipi ya lowasa wakajibu na kusafisha badala ya kujielimisha ili waweze kushindana na soko la ajira,

nikiwa cho nilikuwa nawashanga sana 4u walivyokuwa wanaangaika chuo hawafikiri kusoma zaidi ya lowasa ni aibu vijana wa taifa hili,
 
Nasikia ukiingia sisiemu unapoteza nguvu za kiume au unashambuliwa na magonjwa sehemu hizo. Huyu alizalishiwa watoto.. mwingine walimtoa kabisa kichujio na kuna mwengine nasikia alienda kunywa kikombe ya Babu samunge kwani gia zina leta mashaka kwa mamaa usiku.

Umekosa hoja unaanza kuhororoja na kubwabwaja, leo mtabwabwaja sana na hiyo ni bashraf tu bado mziki kamili.
 
Sumaye jana kasema anawasaidia maana huko viongozi wengi ni below standard.

Queen Esther

Mzee Mwinyi amenifurahisha sa na alipowaita wapinzani Ccm B,nimetafakari haya maneno nikaona yana ukweli ndani yake,Saa hv wanaongozwa na viongozi waliochota uzoefu ccm,wameupeleka uzoefu huo Ukawa na Chadema.
Tatizo ni kwamba wamejipambanua kwa ukanda na wengi wao wana tuhuma za ufisadi.
 
mheshimiwa mkapa hizo zote ni hasira tuu na jaziba zisizo za lazima kwa mtu kama wewe. wewe ni tegemeo la watz wote bila kujali itikadi vyama vyao, nawewe pia umeanza hayo? hivi je kwa mfano: mtu akisema "wapumbavu na malofa ndiyo yamebaki ccm" je mzee mkapa utajisikiaje wewe kama mwanaccm?
 
Hivi hili tangazo la magufuli si limesha-expire!
Bado naliona linazagaazagaa humu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom