YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

Eddo Sambai

JF-Expert Member
Aug 1, 2013
1,815
0
Kweli ccm ni wapumbavu kabisa.

Eti JK anasema zile picture za mafuriko ya Lowasa ni photo shop

NB: Msichukie tukitumia neno "Mpumbavu" maana tumefundishwa leo na Mkapa.
 

sensor

JF-Expert Member
Jan 27, 2015
2,470
2,000
Mkapa.... ATAJUTIA KUTUKANAAAA

MKAPA atakimbia kampeni kama ARUMERU Arusha....

Arumeru, Mkapa, alikimbiaaaaa....akaacha kampeni kisa ALIMTUKANA VICENT NYERERE.... Vicent Nyerere alimkomeshaaaa.... alienda kuomba msamaha haraka...

Mkapa karibu uwanjaniiiii sasa

Hii mpumbavu na lofa itamgharimu haswa.
Kijamaa bado kinajiona ni Rais eti kanaongea kwa magadhabu
 

pepim

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
335
195
Mzee mkapa hapo ni ulimi uliteleza au ulidhamiria? Heshima huifadhiwa miaka tele lakini huweza potea kwa sekunde chache usipokua makini..Pole baba, pole sana yawezekana ulikengeuka
 

Mangi Muitori

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
474
0
Mkapa.... ATAJUTIA KUTUKANAAAA

MKAPA atakimbia kampeni kama ARUMERU Arusha....

Arumeru, Mkapa, alikimbiaaaaa....akaacha kampeni kisa ALIMTUKANA VICENT NYERERE.... Vicent Nyerere alimkomeshaaaa.... alienda kuomba msamaha haraka...

Mkapa karibu uwanjaniiiii sasa

Ndio maana alisaidiwa kuzalishiwa
 

mwasu

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
10,188
2,000
mmm mbona kajichanganya mwenyewe?...maana tena kasema tunaendelea kujikomboa kutoka umaskini ujinga na maradhi!....huu ndo ukombozi unaozungumzwa na upinzani na yeye anajua hilo!....Ila alikuwa anaongea kwa jazba sana .....matusi from Mkapa live kwenye TV sikutegemea!

Amechanganyikiwa maana magufuli hauziki kabisa, na chama cha ccm kwishnei.
 

HOPECOMFORT

JF-Expert Member
Feb 25, 2012
3,223
2,000
Kikwete anasema wao ndo wamefunika. Eti lowasa ukawa uwa wanachanganya picha za slaa za zamani kusema anajaza watu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom