YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

[h=3]Twende na Dr JP Magufuli mpaka kieleweke 2015[/h]

11140281_898930126844661_569991442135980407_n.jpg


11244489_898930166844657_7319756641221879369_n.jpg


11924248_898930076844666_1586771319363140374_n.jpg


11940716_898930206844653_2407456014320017761_n.jpg


Viongozi wetu wote wanamuidhinisha na wanampigia Kura Mh. Magufuli

Kura siri ya mtu
 
Hawa wazee lazima wawadanganye maana posho zao zinatoka Ccm. Sasa lowassa akiwa rahisi itakuwa mzigo kwa Chama. Maana pesa yote inakuwa chini ya serikali. Sasa danganyika wewe upate shida, wenzako wapone.
 
Wewe sema Magufuli chaguo langu,usiseme chaguo la watanzania,maana wengi sii chaguo lao.hata mimi sii chaguo langu,chaguo langu ni Rungwe.
 
Kumbe miezi sita teyari??? kweli mlijipanga.... japo kuna majimbo mlipoteza na kuna mliyopata toka kwa wapinzani wenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom