Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Kahama - Septemba 25, 2015

Tatizo langu ni kauli za udhalilishaji za msukuma kuwa mgombea ukawa ni mgonjwa wa gonjwa lile maana yake ni nini muda huu yamoto wako jukwani
 
Na nilichojifunza ccm hakuna msafi kwani wote waliohama ccm wamebezwa kuwa mizigo maana yake kuwa hata magufuli Leo akihama chama atapondwa mbaya sana
 
huyu mleta mada muongo!
nipo hapa Kahama....asilimia 70 ya umati huu sio wakazi wa hapa ila wameletwa kutoka vijiji mbalimbali na malori na matrekta ili kujaribu kutengeneza japo mafuriko!
Pia wengi wa wenyeji wa hapa waliokuja kwenye mkutano ni wanawake na watoto na wamekuja ili kuona wasanii kama Dayamondu na yabaridi-band!
ikumbukwe alipokuja Lowassa Kahama ilizuiliwa mkutano kufanyika katikati ya mji mkutano ulikuwa nje ya mji na Tanesco walikata umeme na hakuna watu waliofatwa na malori vijijini lakini mliona umati ulivyokuwa mkubwa!
Ukweli mwaka huu ccm hawatashinda!


Sijui CHADEMA na wana UKAWA wenzake wanapata wapi ujasiri wa kusema CCM wanabeba watu kwenye malori, wakati na malori ya CHADEMA nayo yanafanya kazi hiyo hiyo ya kubeba watu kama ng'ombe wa mnadani?
 
UPDATES:
Magufuli anaomba kura kwa wakai wa kahama, anawaahidi kuwatumikia na hakuaomba urais kwa kubahatisha ila anania ya dhati ya kuleta maendeleo... Nataka kujenga Tanzania yenye umoja
 
watu wanakamatwa wanatupiwa kwenye malori mashirika ya haki za binadamu yako wapi?
Sasa kwanini na wao wanaenda kufanya vurugu kwenye mkutano wa watu..,unajua waswahili wanasema Changanya na zako..sasa wanapokea kichapo kwa shilingi 5,000 tu walizopewa na Lembeli.
 
Magufuli ameshatembelea Vijiji 2512 mpaka sasa..,na wanafanya mikutano ya ndani na nje zaidi ya 30 kwa siku, anashangaa UKAWA wanaweza kushindaje..?
Upepo wa ukawa unavuma mno hata wasipo pita story ni ukawa. Juzi nilikuwa jimbo lililokuwa la Mwandosya ambako bado Lowasa hajapita lakini watu ni ukawa na Lowasa kwa kwenda mbele
 
Mgombea wa Urais wa CCM ndugu John Pombe Magufuli ameanza kuongea kwa kujitambulisha kwa jina na kuwasalimia wananchi wa makabila ya kanda ya ziwa na mengineyo ya Tanzania kwa lugha zao..

Ameanza kuongelea kuhusu Amani ya Nchi na Umoja wa Kitaifa..

Magufuli anasema kuwa atahakikisha kuwa anailinda AMANI ya Nchi kwa nguvu yake yote..
 
Magufuli anawaasa wakazi wa Kahama kuendelea kuutunza umoja wa kitaifa na amani iliyopo Tanzania vilivyoasisiwa na viongozi wetu waliopitaa!
Anawaahidi wanakahama kua atailinda na kuitunza amani kwani palipo na amani maendeleo huwezekana.
 
Msukuma anazungumza kwa sasa anasema Mzee Lowassa ni mgonjwa.,yeye ni shahidi amezunguka nae ndege moja kwa zaidi ya Mwezi mmoja na alithibitisha kuwa Mzee Lowassa ni Mgonjwa.

Pia Msukuma amedai kuwa Mgeja alikuwa ni Mwenyekiti anayeongoza kwa Kulala katika vikao..na kwamba ameshukuru kuwa Mzigo huo umeondoka CCM..

Lakini amedai kuwa Sumaye ndie aliyeuza Mgodi wa Kahama mwaka 1998 akiwa Waziri Mkuu inakuwaje leo aseme amekuja kuwakomboa..watu ambao amewadhulumu...

Hako kakijana kamepataje ubilonea siasa hakajui.kamesema ni kapiga dili
 
Updates
Nina ahidi nikichaguliwa kuwa rais wa awamu ya tano wa JMT, ninaahidi kuitetea na kuilinda manani tuliyonayo. Maana pasipo na amani hakuna shughuli zozote za maendeleo
 
Updates
Nina ahidi nikichaguliwa kuwa rais wa awamu ya tano wa JMT, ninaahidi kuitetea na kuilinda manani tuliyonayo. Maana pasipo na amani hakuna shughuli zozote za maendeleo
 
Mgombea urais kwa Tiketi ya CCM, Dr. Pombe Magufuli leo atakuwa wilaya ya Kahama kuinadi Ilani ya Uchaguzi ya CCM.
ILANI NA SERA za ccm ni Sumaye na Lowasa...
Ndo maongezi ya Mr Pombe haps mkutanoni.... Tunadubiri achemke awashe (push up)
 
UPDATES MagufuliJP Kahama: Nina waomba kura zenu wote, ninataka nikawatumikie wananchi kwa moyo wangu,maendeleo hayana chama, sote tunayataka
 
Last edited by a moderator:
Anawaahidi wanakahama kuwa atawatumikia watu wote bila kujali itikadi za vyama vyao, anawaomba kura wananchama wa vyama vyote na wasio na vyama! Magufuli- Kahama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom