Hapo ilikuwa kabla magufuli hajaamrisha kukamatwa kwa walosema hawampi kura.Itoshe kusema leo Bukoba imetikiswa na kutikisika.
Uwanja wa Gymcana ulijaa saa 06:30 za asubuhi.
Ile ndoto ya Chief Karumuna kuchukua Jimbo umepotea mazima baada ya mkutano wa leo baada Mgombea wa CCM Wakili msomi Byabato kuibua Shangwe Mara kwa Mara alipokuwa akitajwa na Mh Magufuli.
Poleni sana wale waliokuwa wanasubiri kutumia karata ya tetemeko kupata kura za huruma .