Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,861
- 1,302
youtubeNaona mods wamefuta uzi wa Lissu kuhusu sakata la Bukoba!!!!!
Shame!
youtubeNaona mods wamefuta uzi wa Lissu kuhusu sakata la Bukoba!!!!!
Shame!
Tumekuja kwenye tamasha la muziki!CCM, babalao.
Wanaogopa kupigwa banNaona mods wamefuta uzi wa Lissu kuhusu sakata la Bukoba!!!!!
Shame!
Ukiwa mwongo usiwe msahaulifuAcha uongo tumeona watu wanazunguka huku na kule freely, subirini kipigo, mnakuja hapa na uongo kwamba kazomewa weka clip hapa, acheni tabia za ki-lissu lissu ya kuomba kura bila kuonyesha ilani ya chama chake ina vipaumbele gani.Kipaumbele namba 1 ni risasi 16
Tuoneshe ulikopiga MSAFARA WA LISSU KUPIGWA MAWE WILAYANI HAI..hicho kitendo mimi sikubaliani nacho.
..kama mtu hamkubali mgombea fulani basi hakuna haja ya kuhudhuria mkutano wake wa kampeni.
Ukifika kijiweni unaomba muhindi wa kuchomaCcm raha tupu
Tuoneshe ulikopiga MSAFARA WA LISSU KUPIGWA MAWE WILAYANI HAI
Au unakikataa kwa sababu kimemkuta maraika?!?
Ni sheeda sanaHalafu kila tukileta hii habari humu mods wanafuta!!
Sawa lakini sio sababu ya kupinga kila kitu na kueneza uongoKada wa CCM lazima useme hayo!Watu wa Kagera wanahitaji zaidi ya hayo ndio maana wanamtaka Lissu!
Ulikuwa unaiabisha Chadema kwa watu kuzua uongo.Naona mods wamefuta uzi wa Lissu kuhusu sakata la Bukoba!!!!!
Shame!
Wakati uwanja wa KIA (Kilimanjaro International Airport) ulipo malizika, kwa miaka zaidi ya mitano hakuna ndege iliyo tua hapo! Ndege za kimataifa zilitua Embakasi Kenya! Miaka zaidi ya mitano.Uwanja wa ndege wa chato unao tua ndege moja kwa mwaka oyyyyyeee
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Kwani huko anakotoka lisu anakuwa amefunga magufuli haendi tena?Umwambie awakumbushe maendeleo ya kagera na Tanzania kw Ujumla
Ukiona hivyo ujue sio taarifa sahihi au ulikuwepo kwenye mkutano kamanda?Halafu kila tukileta hii habari humu mods wanafuta!!
Piga kelele kwa kina nshomile akeeeeeeeeeeeeee
Leo acha niwe mwijaku kidogo
Wamepiga Loki huko Bukoba!
Uongo wakati tukio lilikuwa live na TBC wakakata baada ya kuona hali si shwari😁😁!Mataga wa CCM leo siku yenu imekuwa chungu!Ulikuwa unaiabisha Chadema kwa watu kuzua uongo.
😁😁,tumeona live kabla hawajakatiza matangazo!Sawa lakini sio sababu ya kupinga kila kitu na kueneza uongo