denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,511
- 68,141
Usijidai huelewi, Magufuli kawauliza mtanipa kura zenu, jamaa wakamwambia hatukupi.Yaani hata hamueleweki mara mnasema kazomewa hapo hapo mnasema waliohudhuria ni makada kutoka mikoa yote kanda ya ziwa,poor chadema