Hii hapa live Dkt. Magufuli akiwa Biharamulo akitokea Kagera alikomaliza kampeni muda si mrefu.
Live hii hapa
Acha uongo.mkuu,utasombwa vipi.kwa nauli yako?Masikini waalimu wamesombwa Wilaya nzima kwenda kuhudhuria mkutano kwa nauli zao wenyewe
Masikini waalimu wamesombwa Wilaya nzima kwenda kuhudhuria mkutano kwa nauli zao wenyewe
Maendeleo hayana chama ujumbe umetumwa na umefika salama kwa mhusika.Mkutano kama haukuhusu unaenda kuzomea mtu inakuhusu? Mimi nahudhuria mikutano ya Chadema lakini huwa natulia bila kuzomea wala kufanya fujo
Ok naomba link nione kilichotekea , Mana mi Sina king'amuzi.TV zote zilikuwa zikionyesha zikiwemo za online hiyo habari ni uongo
Kama TBC kakata TV zingine ungeona.
Wakatengeneze waleteTV zote zilikuwa zikionyesha zikiwemo za online hiyo habari ni uongo
Kama TBC kakata TV zingine ungeona.
Mama D unajua uno la huyo jamaa lakini??
Hii hapa live Dkt. Magufuli akiwa Biharamulo akitokea Kagera alikomaliza kampeni muda si mrefu.
Live hii hapa
We haya tu, nakutahadharisha tu Sister😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
EINSTEIN112 niachie mbavu zangu🤣🤣🤣🤣🤣
Tv zingine walikata pia!TV zote zilikuwa zikionyesha zikiwemo za online hiyo habari ni uongo
Kama TBC kakata TV zingine ungeona.