Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Biharamulo, Kagera

Tigershark

JF-Expert Member
Oct 9, 2018
5,289
2,000
Siku hizi sim zinarecord popote, tuletee video toka kwa wenyeji
Nyie ndio mko karibu na TBC,nendeni mkawaombe footage ya kilichojiri baada ya kupotea hewani!!!!
Kwa niliyoona kabla ya matangazo kukatika,nimeridhika kuwa lazim kuna mtu alifoka sana!
 
Nguruvi3

Platinum Member
Jun 21, 2010
13,832
2,000
Masikini waalimu wamesombwa Wilaya nzima kwenda kuhudhuria mkutano kwa nauli zao wenyewe
Hawa Walimu ni watu wa ajabu sana. Kila mara wanatendwa tena vilivyo lakini hawaelewi.
Uchaguzi ukiisha hakuna anayewajali, utawaona wamening'inia katika malori wakienda kuchukua mishahara kwa adha. Hakuna sheria inayowataka wahudhurie mikutano ya siasa ! Ni wao tu na uelewa wao! poor walimu

JokaKuu
 
EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
8,397

Wapuuzi sana wanapewa vijipesa vidooogo wanasahau maumivu ya miaka mi5
 
Nguruvi3

Platinum Member
Jun 21, 2010
13,832
2,000
Wapuuzi sana wanapewa vijipesa vidooogo wanasahau maumivu ya miaka mi5
Ndio watunzi wa nyimbo za kampeni. Uchaguzi ukiisha utawaona wamening'nia kama popo kwenye malori ya mkaa. Huwezi kuwaona kwenye malori yaliyobeba matunda ! no. ni mkaa.
Hata malori yaliyochukua mafenesi hawapewi hata pa kusimama. Inashangaza
 
T11

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
3,494
2,000
Ndio watunzi wa nyimbo za kampeni. Uchaguzi ukiisha utawaona wamening'nia kama popo kwenye malori ya mkaa. Huwezi kuwaona kwenye malori yaliyobeba matunda ! no. ni mkaa.
Hata malori yaliyochukua mafenesi hawapewi hata pa kusimama. Inashangaza
 
Nguruvi3

Platinum Member
Jun 21, 2010
13,832
2,000
Usicheke! ni serious kwakweli. Usafiri wa CCM ndio the best hadiuchaguzi mwingine.

Hakuna sheria inayowalazimisha wasombwe, ni wao tu na tu na roho zao.
Kila aliyekwenda katika mkutano wa ccm utamuona ana karatasi, kama si nyimbo ni mashairi au ngonjera.

Ukiona Toyota au 'kenta' imebeba mapeasi, mananasi, giligilani, matunda damu, mapapai au machenza etc angalia pembeni ya watu waliokaa. Utaona mganga wa kijiji, afisa miradi ya maji, bi kilimo .

Simamisha lori la mkaa, katika abiria 17 walioning'nia 15 ni Waalimu na 13 wanakwenda kuchukua mshahara, 1 anakwenda hospitali na mwingine anashughulikia divorce.

Tuwaambie ukweli tu hata kama unauma. Wanatumiwa sana
 
  • Thanks
Reactions: T11

Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
9,443
2,000
Hii hapa live Dkt. Magufuli akiwa Biharamulo akitokea Kagera alikomaliza kampeni muda si mrefu.

Live hii hapa
Vijana wa Kagera hawajaniangusha. Wamema vitasa live bila chenga. Sasa subiri afike Mbeya watampopoa kabisa kama walivyomfanyia JK
 
T11

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
3,494
2,000
Usicheke! ni serious kwakweli. Usafiri wa CCM ndio the best hadiuchaguzi mwingine.

Hakuna sheria inayowalazimisha wasombwe, ni wao tu na tu na roho zao.
Kila aliyekwenda katika mkutano wa ccm utamuona ana karatasi, kama si nyimbo ni mashairi au ngonjera.

Ukiona Toyota au 'kenta' imebeba mapeasi, mananasi, giligilani, matunda damu, mapapai au machenza etc angalia pembeni ya watu waliokaa. Utaona mganga wa kijiji, afisa miradi ya maji, bi kilimo .

Simamisha lori la mkaa, katika abiria 17 walioning'nia 15 ni Waalimu na 13 wanakwenda kuchukua mshahara, 1 anakwenda hospitali na mwingine anashughulikia divorce.

Tuwaambie ukweli tu hata kama unauma. Wanatumiwa sana
 
T2020JPM

JF-Expert Member
Sep 8, 2020
414
250
Ndio watunzi wa nyimbo za kampeni. Uchaguzi ukiisha utawaona wamening'nia kama popo kwenye malori ya mkaa. Huwezi kuwaona kwenye malori yaliyobeba matunda ! no. ni mkaa.
Hata malori yaliyochukua mafenesi hawapewi hata pa kusimama. Inashangaza
Unawazungumzia hawa??
JamiiForums817222859.jpg
 
Nguruvi3

Platinum Member
Jun 21, 2010
13,832
2,000
Nazungumzia Waalimu! yaani we acha tu. Ni shida na malori ya mkaa! sijui kwanini hawapewi nafasi kwenye Toyota.
Wao ni malori ya mkaa wakikimbizia mshahara! Wakati huo CCM haina habari nao. Uchaguzi ukija wao ndio watunzi wa nyimbo, ngonjea etc. Uchaguzi ukiisha wanarudi kwenye malori ya mkaa. Na ccm wanajua ndio maana hupeleka malori, wanajua wateja wao.

Kama si lori la mkaa ni lori lililobeba mbuzi na pilipili kichaa!

Gari iliyobeba gilgilani, mushrooms, mananasi, mapeasi , apple, machenza, mdalasini, ukimuona abiria basi ni mganga, bi shamba, bwana mifugo na afisaidi mradi wa maji.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom