Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa DSM kutoka Ukumbi wa Millenium Tower

Acheni ulofa Wa kufanya siasa nyepesi Ni kujitekenya na kucheka wenyewe,nendeni mikoani,ccm wanachanja mbuga ,tizameni mkutano Wa mama Samoa monduli labda ndio mtaamka usingizini,hii mitandao inawadanganya pia magazeti,hayaandiki kinachijiri vijijini kila wagombea na makada Wa ccm kina kibajaji wanapopita,muwe mnachungulia hata ccm blog kubalance story


Ccm wanafanya kitchen party ngoja ss tutawa send off na kuwaoa kabisa kuanzia kesho 29 of August
 
Subirini Kesho ajidunge sindano ndio aweze kuongea kwa saa 1 na baada ya hapo ataibukia kwa daktari wake.Vinginevyo vumilieni tu hotuba za dakika 4, ndio hali ya mgombea ilivyo.

Aliyekwambia urefu wa hotuba ndio unatatua kero za wananchi nani? Mmezoea kubwabwaja tumechoka maneno tunataka vitendo....
 
Haha it's crazy how you can go from being a Joe blow to everybody's d*ck,
Madam ever you had shoe without shoe strings? We got nothing to lose, ccm we still rolling on, so you ain't sippin even not scarring either, cha msingi Tuliza kipago, usubiri magufuli aingie magogoni. Mbaya zaidi huna hata visa hivyo utabaki kuwa wa hapa hapa na Rais wako ni magufuli........ Carry on.

sijaelewa logic ya kukopi mistari ya nyimbo ya mtu il kujib comment,hivi hakuna mwana ccm humu anayeweza kujieleza?
 
attachment.php


Safi sana kina mama
 
Kabisa mimi pia nilitamani sana lakini mambo yakanizidi! Nawaza kwenda jangwani lakini naviogopa virungu! Maana nina imani wako tayari tayariii
Usiogope, wewe twende tu.Hujasikia jana Mbowe akisema kuwa wanawake tumetengewa sehemu yetu?
Hizo fujo zitatoka wapi?
Yaani mimi nimefurahi na hamu ya kwenda Jangwani kesho inaongezeka kila saa.
 
BAWACHA WAMGOMEA LOWASA

Wakiongea kwa nyakati tofauti wanawake wa bawacha wanasema wamefaatilia kwa karibu sana sana hotuba ya mgombea urais kupitia UKAWA aliyoitoa hapa LAPF kwenye kongamano la wanawake BAWACHA na kubaini jambo moja kubwa sana.

Kauli mbiu ya kongamano ni "LOWASA NA HATMA ZA CHANGAMOTO ZA WANAWAKE TANZANIA"

Tumesikitika kuwa tulitegemea kwenye hotuba Yake ataweza kuelezea mikakati ya ukombozi huo wa mwanamke lakini tunasikitika kuwa hakuona mahali popote akiongelea changamoto hizo na jinsi ya kuzitatua.

Ameishia kuimba Wimbo wa Mhe.Dr Magufuli "Alinselema Hadija, mchaka mchaka chinja" na kuzungumza mambo ya MAHABA!

Tumesikitika kusema sisi kama wanawake hatuko tayari kubueuzwa, kura zetu No!!!!!!!!!! Ngoja tumsubiri Dr Magufuli original wa Alinselema na mtu wa kutenda.

Tuna uhakika atatuondolea kiu ya changamoto zinazotukabili ikiwa ni pamoja na kuboresha HUDUMA ZA AFYA.

Tunataka kuona SERA za ukweli za kumkomboa mwanamke kama za Dr Magufuli na sio MAIGIZO.

Kwakifupi babu wetu ni msanii kwelikweli hana uwezo wa kuongoza nchi, tumkatae, tumpinge kwa nguvu zote.
 
Mmmmh!Huyo MUUZA NYUMBA unayempigia debe si yupo kwenye baraza la mawaziri kwa nini asingehimiza utatuzi wa hizo changamoto mbona huu unaouleta ni utapeli.Ameshindwa kuhimiza baraza litatue hizo changamoto mpaka sasa atawezaje kuzitatua.
 
Back
Top Bottom