Yaliyojiri, Mkutano wa CHADEMA na waandishi wa Habari

Status
Not open for further replies.

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,789
11,930
Habari Makamanda!

Leo Mnamo Saa tano CHADEMA itafaya Press Conference kutokea makao Makuu ya Chadema Kinondoni Mtaa wa Ufipa.
togo.png

Naomba kuwataarifu kuwa Ijumaa, Juni 16, saa 5 asubuhi, tutakuwa na mkutano na waandishi wa habari utakaofanyika Ofisi za Makao Makuu ya Chama, Kinondoni, Dar es Salaam. Viongozi wakuu wa chama watazungumza kuhusu mwenendo wa masuala kadhaa nchini.

Chombo chako kinaalikwa kutuma mwandishi na mpiga picha. Tunatanguliza shukrani zetu. Asante.

Makene

Tazama hapa chini. Cha ajabu Press Ilikua na Kabila Moja. Press Conference ya Chama au Kabla?
 
Habari Makamanda!

Leo Mnamo Saa tano CHADEMA itafaya Press Conference kutokea makao Makuu ya Chadema Kinondoni Mtaa wa Ufipa.
View attachment 524869
Stay Tuned makamanda kwa Updates

-------------------------------------------------------------
-------------------------------------------------------------
natumaini watahimiza watu kufanya kazi.... hamna namna nyingine
 
Tupo tunasubiri, tunategemea mengi mapya yaani wawe wamebadilika na sio kudakia tu yamayofanywa na serikali kutafutia kiki.

Walete mapya ya maendeleo
Mbona serikali imedakia yaliyokuwa yanapigiwa kelele miaka nenda rud ?
 
Habari Makamanda!

Leo Mnamo Saa tano CHADEMA itafaya Press Conference kutokea makao Makuu ya Chadema Kinondoni Mtaa wa Ufipa.
View attachment 524869
Stay Tuned makamanda kwa Updates

-------------------------------------------------------------
-------------------------------------------------------------
Umeandika kimbeya sana.

Acha walete updates wenye chama chao!
 
Tupo tunasubiri, tunategemea mengi mapya yaani wawe wamebadilika na sio kudakia tu yamayofanywa na serikali kutafutia kiki.

Walete mapya ya maendeleo
Ok naomba unieleweshe kurukia matukio ndio kupi huko???

Jamani ieleweke kuwa upinzani unapotoa maoni yake kuhusu jambo fulani linaloendelea kwenye nchi ndio moja ya kazi yake kma chama mbadala ili kuonyesha wananchi kuwa ingekuwa wao ingekuwaje

Kwa mfano bungeni waziri akisoma makadirio ya bajeti yake anaitwa pia mwakilishi wa kambi ya upinzani kuja kutoa maoni ya bajeti iliyopo ya hyo wizara ssa hapo nako mtaita kurukia matukio???

Vyama vya upinzani vinakosoa serikali na kuirekebisha bila kusahau kutoa suluhisho mbadala hivyo sitegemei tukio lolote kubwa likitokea wao upinzani walikalie kimya!! Itakuwa haina maana ya upinzan kuwepo just know chochote inachofanya serikali lazma wananchi waone upande wa pili una maoni gani na hii ipo kwenye mabunge yote duniani sasa kivp wapinzani hapa tz wakitolea maoni njaa sijui makinikia mnasema wanadakia matukio???
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom