Yaliyojiri, Mkutano wa CHADEMA na waandishi wa Habari

Status
Not open for further replies.
EEEEh! tunasubili waje watuombe radhi kwa makosa haya: na ninakuombea afya njema.Huyu Lisu na chadema:
ndio waliosaini mikataba mibovu..
lisu na chadema ndio waliopeleka sheria za madini na gesi kwa hati ya dharura bungeni...
lisu na chadema ndio waliowafukuza upindani bungeni ili waitikie ndiooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo kiulaini...
lisu na chadema ndio waliodharau na kuponda maelekezo ya wapinzani wakat upinzani ulipopiga kele kuzuia mikata mibovu...
lisu na chadema ndio waliomweka Lisu na upinzani kolokoloni kwa kosa la kupinga mikataba mibovu.
lisu na chadema ndio wanaoigiza mazingaombwe ya uzalendo ili kukiinua chama cha makanikia(ccm).
lisu na chadema ndio matapeli wakubwa kwa miaka 20 kwa kuwatapeli watanzania kusainisha mikataba mibovu ya kuliibia taifa.
lisu na chadema ndio wanafanya usanii wa uzalendo ili waendelee kutapeli taifa miaka mingine mingi.
Lisu na chadema ndio wametutapeli ununuzi wa ndege mpaka CAG anaogopa kukagua taratibu za manunuzi.
lisu na chadema ndio waliosaini kuuza nyumba za serikali kwa bei ya sifuri.
Lisu na chadema ndio matapeli hatari wa tanzania kwa miaka zaidi ya 50, kwan wanataka kutumia uharamia walioufanya huko mwanzo ili kutafuta kiki ya kuendelea kutawala na kuendelea kufanya uharamia wa raslimali za nchi milele...whisho nch itabaki na mabua bila mbolea.
.....

Lissu na chadema ndio waliovunja jengo la Bilicana lilokuwa na wapangaji wengi wanaolipa VAT na sasa hivi imekuwa parking ya bure.

Ndio waliovurugu bustani ya mboga mboga mboga iliyokuwa inauzwa na kuingizia taifa kodi nyingi mbali na kuajiri wafanya kazi waliokuwa wakilipa PAYE na kuikosesha serikali mapato and the list goes on and on
 
Mpaka sasa Sijaelewa ni Utapeli ama nini Saa 5 na Dakika 37 mkutano haujaanza

We unaita utapeli kisa nusu mkutano bado kuanza, je ile 50m@ kijiji tusemeje? tena ilikuwa mpaka kwenye bajeti iliyopita na bado haikupelekwa.
 
nadhani hili la jpm kukingia kifua marais wastaafu lisemewe. rais amewavunja moyo watanzania wengi kwa tamko lile.
Ahaa! nimekuelewa sasa! kwa hiyo wabunge wenu walivyoimba wanaimani na jk na mkapa, waliwapa moyo watanzania kwa wimbo ule sivyo?
nadhani jiwe lililogandamiza akili zenu linauzito mkubwa sana! ni sawa na mwanaume alielishwa limbwata! we hata huu mfano mdogo huwezi kuzinduka na kuona kwamba unazingua!
 
EEEEh! tunasubili waje watuombe radhi kwa makosa haya: na ninakuombea afya njema.Huyu Lisu na chadema:
ndio waliosaini mikataba mibovu..
lisu na chadema ndio waliopeleka sheria za madini na gesi kwa hati ya dharura bungeni...
lisu na chadema ndio waliowafukuza upindani bungeni ili waitikie ndiooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo kiulaini...
lisu na chadema ndio waliodharau na kuponda maelekezo ya wapinzani wakat upinzani ulipopiga kele kuzuia mikata mibovu...
lisu na chadema ndio waliomweka Lisu na upinzani kolokoloni kwa kosa la kupinga mikataba mibovu.
lisu na chadema ndio wanaoigiza mazingaombwe ya uzalendo ili kukiinua chama cha makanikia(ccm).
lisu na chadema ndio matapeli wakubwa kwa miaka 20 kwa kuwatapeli watanzania kusainisha mikataba mibovu ya kuliibia taifa.
lisu na chadema ndio wanafanya usanii wa uzalendo ili waendelee kutapeli taifa miaka mingine mingi.
Lisu na chadema ndio wametutapeli ununuzi wa ndege mpaka CAG anaogopa kukagua taratibu za manunuzi.
lisu na chadema ndio waliosaini kuuza nyumba za serikali kwa bei ya sifuri.
Lisu na chadema ndio matapeli hatari wa tanzania kwa miaka zaidi ya 50, kwan wanataka kutumia uharamia walioufanya huko mwanzo ili kutafuta kiki ya kuendelea kutawala na kuendelea kufanya uharamia wa raslimali za nchi milele...whisho nch itabaki na mabua bila mbolea.
.....
Mmeishiwa sasa mnadakadaka tu hoja. Magufuli kawaua kimya kimya, na bado
 
Naomba mnikumbushe kwa sababu nilikuwa sifatilii ya siasa nchini enzi hizo.

Hiyo katiba ilifikia wapi, naona huyuanamtukana Rais kusema kuwa sio mwanaume. Ameenda mbali kwa maneno yake, Chadema hambadiliki kuwa na lugha chafu ambazo hazitupendezi sisi wananchi tusio na vyama.

Anayejua katiba ilifikia wapi na nini kilikuwa kinafata atueleze. Nakumbuka kumsikia Rais wetu JPM, alisema ya katika ni ya bungeni.

Huyu baba ni nani, anamsema Rais kwa kukubali maoendekezo ya Ripoti ya pili, kabisa aoni aibu kwa hiyo alitaka Rais aseme hayataki... ili iweje!?

Kwa kweli nyie sio upinzai bali ni blah blah blah... hata maswali watu hawana kabisaaaaa.

Wao ndio wanawauliza maswali wanahabari... eeeeh kituko cha mwaka

Naacha kuandika na kuacha kuendelea kusikikiza. Hawa wasahau Ikulu kwa miaka millioni.
Mkutano wa Chadema kuongelea ripoti za makinikia wanaponda.. sasa walitaka iweje!!!

Wanawatuma wanahabari wakafanye mabaya duh!

Hapana hamna jipya kabisaaaaaa, hawatumii akili hao ya kudeal na issues wanaoenda machafuko.

Haya mapaparazi tunasubiri tuone mnaendelea kuyaongelea yaliyokatazwa....

Amesema waandike yaliyojificha hilo ndio uwaambie kwa sababu wasiogope... kwani nani kawakataza... kwa sasa waache mahojiano yaanzr ealikuwa wapi miaka yote kuaandika hafi kusubiri ripoti

Shaaaa natoka

Magufuli 2020
 
Chadema wameishiwa, hofu walionayo siyo ya kawaida.
 
Press conference zilikuwepo enzi za Dr. Slaa bwana! Akisimama Slaa nchi inasimama! Wamebaki wezi tuu wa ruzuku!
Uko sahihi sasa hivi wakiita Press conference unaweza jua kwa uhakika wataongelea nini huhitaji kuwa mnajimu au mpiga ramli. They are too low
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom