Yaliyojiri Mdahalo wa Katiba: Jumanne, Tarehe 25 Novemba, 2014

Wakinamama hawajajitokeza kwa wingi.....siwaoni kwenye runinga yangu


Uhakika wa ulinzi ulikua mdogo sana wengi wameogopa hilo hasa baada ya kuanza kuzushwa kwamba itatokea vurugu. Ila uzuri wako wengi majumbani na nina imani wengi saaana (my prayers to be precise) wanaangalia.
 
Je mdahalo huu waweza rudiwa kurushwa? Kama ndiyo ni lini na saa ngapi ?
 
Anahoji unafiki (ukali waloonesha) wiki hii, lakini walikataa rasimu inayodhibiti maadili moja kwa moja
 
Hapana, nadhani anafanya ulinganifu WA rasimu yake na katiba pendekezwa, kwa maana hy anaonesha walipoenda saws na walipotofautiana.
Kwani ni lazima wafanane kwa kila kitu? Na je ni dhambi bunge maalum na tume kutofautiana?
 
Katiba pendekezwa inaruhusu mgombea binafsi, lakini masharti yake yanakimbiza wagombea binafsi.
 
Back
Top Bottom