Yaliyojiri Mdahalo wa Katiba: Jumanne, Tarehe 25 Novemba, 2014

Ukumbi huo unabeba watu 350 tu; wenye usalama tosha dhidi ya wahuni na waliobaka rasimu ya katiba ya tume ya Warioba.
 
Warioba kadanganya alipotoa mfano wa viongozi wa Israel kutoruhusiwa kuwa na Account nje ya nchi. Ametoa mfano feki kwa kusema kuwa waziri mkuu wa zamani Yitzak Rabin alijiuzulu baada ya kubainika kuwa na account ya bank huko Marekani. Hii si kweli kwani mara moja nime-visit profile ya Rabin, sikuona kashfa hiyo-Anazeeka vibaya huyu Mzee...!
 
Warioba amepigika sijui kama anachofanya kinamanufaa sana kwa jamii sisi tunawaza IPTL yeye anatuzingua.
 
Warioba amepigika sijui kama anachofanya kinamanufaa sana kwa jamii sisi tunawaza IPTL yeye anatuzingua.

Mkuu Kwani iptl imezuka ili kuzimA issue ya katiba?. Nadhani twende navyo vyote maana kuna watu tunafuatilia na ya Warioba pia. Nadhani hata wewe pia, kama hivi. Inatosha
 
Warioba amepigika sijui kama anachofanya kinamanufaa sana kwa jamii sisi tunawaza IPTL yeye anatuzingua.
lazima muwaze IPTL maana katiba bora ikipatikana hamtaweza kutuibia tena.kama tungekuwa na katiba bora kwa sakata hili la escow uharo huu ungeutolea AMA segerea au kaburini
 
Hii mijamaa ilochakachua katiba ya wananchi inatumia nguvu kubwa sana ili tusisikilize maoni ya Juji Warioba. Nimeshtuka usingizini juji Warioba anamalizia kuongea.

Wanatuloga mpaka tulioko nyumbani ili tulale usingizi.
 
Haya mkuu msikilize polepole
 
Mafisadi wanapobanwa kurudisha fedha zetu, tunaanza na suala la kudai tume huru ya uchaguzi kabla na kura za katiba mpya!. Hii tume ya mafisadi lazima itachakachua kulinda haki za mafisadi kikatiba.

Hatutaki. Tunataka tume huru ya uchaguzi, ishughulikie kura za katiba.

Wakati hili likifanyika, tunakkwenda sambamba na kashfa ya bomba la gas na fedha za USWis.

Mengine tutampa raisi wetu mzalendo anayekuja!. Haya yakiwemo yote ya kina Richmond, EPA, n.k. Lazima kieleweke. Tunahitaji fedha zetu zote tujenge nchi!.
 
Back
Top Bottom