Yaliyojiri Mdahalo wa Katiba: Jumanne, Tarehe 25 Novemba, 2014

Warioba: wananchi walitoa maoni mengi sana kuhusu dira ya taifa, kwa sasa taifa hatujui tunaenda wapi
 
Arusha wameondoka na umeme tangu asubuhi

Nnakumbuka tuliambiwa na top mmoja wa wizara ya nishati kwamba mgawa wa umeme kufikia 2015 utakuwa ni ndoto, sasa tuna miezi kama 3 tu imebakia kufikia lengo hilo.

Ni wakati sasa wa kupitisha sheria ya VIBOKO ili kuwathibiti wanasiasa warongo kama hawa.
 
Warioba: Malengo makuu yamewekwa vizuri kwenye Katiba Inayopendekezwa, lakini wamezuia yasihojiwe mahakamani hilo ni tatizo
 
Watu hamjiulizi kwanini mdahalo uwe leo,siku moja kabla ya kusomwa report ya escrow?,tena kwanini hata taarifa ya mjadala imekuja kwa mda mfupi sana...
anyway mdahalo umetulia sana.
Katiba ndo yenye uwezo wa kuziba mifuko ya Taifa letu iliyotoboka,mfano escrow,Richmond,EPA nk.Katiba ikiwa mbovu escrow,EPA,na madudu mengine yataendelea kutokea sana.tukipata katiba bora itatupa nguvu ya kuwashughulikia Hawa wezi wetu.escow kujadiriwa bungeni kwangu mm sioni Wala sitarajii jipya.Richmond ili jadiliwa,kipi kimetokea?mjadala ule mbona haujazuia escow?
 
Hapo nimekusoma mkuu
 
Back
Top Bottom