Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Upande wa Utetezi waanza kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka 26 Novemba, 2021

Kesi imeisha
1. wamekiri kukusanywa na kumfahamu Mbowe
2. wamekiri kwenda Moshi
3. wamekiri kufanya mikutano na Mbowe kwenye maeneo yanayomilikiwa na Mbowe
Hizo ni ingridient za kesi ya Jamhuri
Sema ingridient za ubambikaji🤔.
 
Mawakili wa SERIKALI wanajifanya nao ni Majaji, kwanza wanaingia muda wanataka, wanasimama wakati wowote ku-intact mahakama bila kutaja kifungu cha sheria.

Kibatara upo sahihi, kanyaga twende. Na ndiyo maana kumbe Mtobesya ashawafikisha Mahakamani na hukumu imetamka wazi.
Wakumbuke lkn kuwa aliyewajengea viburi hivyo sasa hivi hatunae tena. Wafuate taratibu za kimahakama na sheria zilizowekwa. Kuna siku atajikuta/watajikuta na Mawakili wa kujitegemea.
 
Kati ya Mashahidi wa Jamhuri sijasikia mpaka leo mwenye kitu cha Maana, nachokiona Kibatala na Jopo lake wanawahenyesha tu na maswali
shahidi kafundishwa kuja kusema maneno ya kutia huzuni mahakamani akifikiria yatamuokoa yaani hata aseme alilishwa mavi jela iko palepale hao ni magaidi
 
Jaji ni Mpumbavu toka siku ya kwanza ona anasimama Kama shahidi wa mashitaka. Alioni aibu anasema mtuhumiwa AMEFUNDISHWA kujibu Kisa atetemeki kujibu au? Anajibu kwa ufasaha sababu yeye ndiyo aliyepigwa anaeleza kitu halisi. Siyo mashahidi wake wa kufundishwa.
 
Back
Top Bottom