Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Upande wa Utetezi waanza kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka 26 Novemba, 2021

Hii kesi kwa jamuhuri/serikali, ni sawa na makalio ya kuku kwenye upepo mkali.

Aliyebambikiwa kesi hii ni mtu maarufu sana nchini na mwenye influence kubwa kwenye jamii.

Just imagine kwa wananchi wa kawaida ambapo haya masuala yameshazoeleka kabisa. Ndiyo maana hii nchi haiwezi kupata maendeleo chini ya mfumo huu tulio nao.

Ukatili na ujinga wa polisi kwa wananchi wa kawaida ni jambo ambalo limezoeleka. Hakuna competence kwenye kila nyanja ya utawala nchini mwetu.

Tumeona jinsi ambavyo jamuhuri na vyombo vyake vya dola jinsi ambavyo wamekuwa exposed.

Hatua nzuri ya kwanza ya kuanza kuondokana na haya yote ni katiba mpya. Katiba kutoka kwa wananchi kwa ajili ya wananchi ndiyo mwanzo wa muafaka.
wallahi sijui kwa nini samiah anakubali jamhuri inadhalilika kiasi hichi
 
Si chadema walisema mahakama ya mafisadi na majizi haipo?

Inakuweja tena Mungu wao anahudhuria hapo.
Kichwa maji! Bila shaka ulifeli mitihani yako ya shule wewe. Siyo kwa akili hizi yooote yaliyosemwa hapo juu umeona jimbo hii single?
Aibu kubwa sana kwa.waliokizaa,kukukuza na kukuona
KICHWA MAJI
 
Kesi ina M tatu (3): Mshitakiwa, Mshitaki na Mwamuzi. Mashitaka hayamati sana, unaweza kuweka mashitaka yoyote, utakwama kwenye ushahidi. Hii ni kesi ya ugaidi, kwa hiyo usishangae mapolisi kuwa wengi. Ingekuwa ni kesi ya uchaguzi, wanasiasa wangekuwa wengi zaidi na wangejirudiarudia.

Kesi si ya kutunga, imeweka mashitaka ya ugaidi na kuhujumu uchumi. Ni lazima pawe na ushahidi, tumesikia toka tigo malipo, magaidi makamando, na binduki ilikamatwa. Anadai VIP Protection, protection kwenye mbege?

The fellow is in hot soup, njia pekee waliyonayo watetezi ni vipingamizi visivyo na mdhiko wala mvuto.

Hayo ya uchaguzi ndiyo yanamkaanga zaidi. Alishindwa kwa kura 78% na katoto kadogo kabisa, jimbo aliloongoza tangu vyama vingi kuanza. Kwa nini wamshitaki mshindwa, si wangemshitaki alipoiba kura 2000 na 2005?
Kwahiyo ugaidi woooote ulipangwa kutumia bastora moja na lisasi 3 ni bora uwe masikini wa mali kuliko kuwa maskini wa akili huna akili mafi wewe
 
Wakuu mbona muendelezo wa leo siupati
 
Asantee mkuu
 
Back
Top Bottom