cleokippo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 2,072
- 1,697
Sikubaliani sana na hoja yako kuhusu swila, ila swala la kibatala naungo hoja mkono! swila ni mpelelezi na ameulizwa mara nyingi sana kuwa wewe ni mpelelezi makini akajibu ndio, na yeye ndio ameandika ile report sasa cha kusikitisha vitu vingine viko tofauti kabisa yaan hata havihitaji kutumia akili kubwa kama ile miamala anaulizwa huoni kama vipo tofauti anakwambia vipo sawa sasa pale we kama jaji unaandika kitu gani? Unaona kabisa vitu vipo tofauti unasema vipo sawa ukiangalia report umeandika wewe nini maana yake sasa? report yake na mer ndowo vitu viwili tofauti yule kaka kachemka sana yaani bora hata ya luteni urio kidogo kaonyesha matumainiMkuu kwanza nikushukru kwa mchango wako, Jambo ambalo ninaliona kwa mtazamo wa kisheria unapokuwa unajib maswal hasa ya kibatara unahitaji utulivu wa akili vzr ndo anachofanya swila, kiumla ametulia, hujawahi kuwa mpelelezi/ police ila huwa Kama kunakazi ngum Ni kwenda kutoa ushahidi,
Wakili anachofanya nikuhakikisha anaku contradict information, ili kuwa na false, au, erase ndo kazi ya mtetezi umemsikia jaji anasema ili mwisho wa kesi ajue anapata wapi reference, so far swila kwangu nampa pongezi ametulia mno, na kujib maswal ya kabatara Kama si mtulivu, unaweza kujikuta una erase nyingi,