Yaliyojiri Mahakama Kuu: Mahakama yatupilia mbali mapingamizi ya Serikali dhidi ya Lissu, Shauri la msingi kuendelea kusikilizwa...

Hii inatwa Mtangulizie Mpira Mbele ajifunge Mwenyewe..

Kama ntamfunga kipindi cha pili magoli mengi.kwanini niwaondoe mashabaki wake uwanjani kipindi cha kwanza..
Tumia akili
 
Ni mtihani mkubwa sana kwa mahakama kama chombo cha kutoa haki. Haki ionekane kutendeka, yaani MTU achaguliwe na maelfu ya watu halafu atwangwe risasi kisha afukuzwe ubunge.
Kwa kweli haingii akilini!!!!! Afunguliwe shitaka AG na Ndugai, halafu serikali ipeleke mawakili 15 kupinga kesi isisikilizwe!!!!
 
Hofu yao ni uamuzi wa spika haukuzingatia sheria hivyo kimsingi Lissu inabidi awe reinstated kwenye nafasi yake ndo maana serikali ilikua inataka kesi itupiliwe mbali..kwaio sasa hivi lazima wataumbuka tu ndo maana wanaleta delaying tactics ili yule mbunge mteule aapishwe...
Ngoja tuone. Sinema ndio kwaaaanza imeanza
 
hiviilikesihii iwe imeamuliwa kwa haki na usawa na kila mtualidhike ni kwamba lazima tundu lissu ashinde kesi? mi sielewi kabisa watu povu jingiiii eti haki itatendeka tu ila kila anayesema hivyo anaangukia kwa lissu , kiufupi huyo ni mtoro wa bunge na utoro kajitakia mwenyewe jutofuata taratibu tu kwa nini hakumtaarifu spika kuwa anaumwa mkwa maandishi? basi

"If you are neutral in the situation of injustice you have chosen the side of oppressor"
 
bakisha na maneno ya kuongea siku jaji atakapo sema uamuzi wa spika ni halali usije ukakosa ya kuongea

Sawa mfalme njozi.. Ila kwa sasa acha tufurahie pigo wa jiwe na serikali yake, kujaribu kuzuia maji kwa kutumia majani ya mnyanya..
 
Kwenye haki mungu habagui, ukiwa malaika na unekosea , atakukosoa na haki itatendeka, kama hao waliompiga risasi nao watakvyo kufa kwa mateso.

LISSU ALIKOSEA KUTOTOA HABARI ALIPO KWA MAANDISHI BUNGENI.

IGNORANCE AND AVOIDANCE OF LAW HAS NO DEFENSE.
Mungu simama na Lissu,kama ulivyosimama naye kipindi chote cha Matatizo yake...Ameen.
 
Iko wazi
Utakuwa ni ujinga kupoteza muda na gharama kwa mbunge mtoro!
Kumbuka hakufukuzwa bunge, alichofanya ni kutofuata utaratibu wa bunge kwa mujibu wa kanunu zao!
Tuchukulie baba yako ndo angekua kapigwa risasi zaidi ya 16. Wewe ungejisikiaje, halafu unasema haya? Kua na utu mkuu ndugu yangu.
 
Tuchukulie baba yako ndo angekua kapigwa risasi zaidi ya 16. Wewe ungejisikiaje, halafu unasema haya? Kua na utu mkuu ndugu yangu.
Mkuu baba yake angekua amepigwa risasi 16 angekua amekufa.Hakuna kiumbe kinachoitwa Binadamu kikapigwa risasi 16 kikabaki hai. Labda risasi za mabua.
 
Mkuu baba yake angekua amepigwa risasi 16 angekua amekufa.Hakuna kiumbe kinachoitwa Binadamu kikapigwa risasi 16 kikabaki hai. Labda risasi za mabua.
Hivi una akili kweli wewe ?

Hivi kwa nini unataka niseme baba yako alifanya jambo la kipumbavu wewe kuzaliwa ni bora angejishindia goli la mkono

Hivi ntakua wrong kusema hivyo ?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kumekucha tena wakuu , habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba Mawakili wa Serikali wakiongozwa na wakili mkuu wa serikali wanafanya mipango ya kukata rufaa baada ya kubwagwa kwenye sakata la mapingamizi

Ni kweli kwamba kukata rufaa ni haki ya kila mmoja hasa kama hajaridhishwa na uamuzi uliotolewa , lakini kukata rufaa huku ukilenga kupoteza muda ni jambo baya lisilokubalika .
 
Kwenye kesi sasa serikali iongeze idadi ya mawakili, bisa kusahau kuwatumbua hawa 15 waliochemka dhidi ya wale 4 tu.
 
Back
Top Bottom