Yaliyojiri Mahakama Kuu: Mahakama yatupilia mbali mapingamizi ya Serikali dhidi ya Lissu, Shauri la msingi kuendelea kusikilizwa...

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,741
2,000
Ndugai anapenda sana ugomvi, kagombana na wagombea ubunge wenzake, CAG, vice wa bunge la afrika, lissu etc.
 

Atclkwanza

JF-Expert Member
Dec 20, 2015
823
1,000
Mwache apishwe nimependa judge alivyokuwa anawahoji mawakili Wa serikali,wenye macho na uelewa mnajua amejivua Lawama,Chadema mkichukua nchi huyu anafaa kuwa kiongozi Wa mahakama.
Msimlaumu mfumo ungemmaliza mpaka sasa hivi wale Wa kijani na kiongozi wao wao wapo wanakunywa divai.
CDM September ni mbaya kuliko wakati wote msiogope mnara wa babeli unaenda kuanguka.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom