JokaKuu
Platinum Member
- Jul 31, 2006
- 30,442
- 54,991
Nakushauri usome sheria ya ugaidi- nimeiweka in one of my post kwenye post hii- kesi iko clear na ushahidi to the point vinginevyo kesi isingefika huku. SIKIA serikali ina maguvu makubwa sana - ikitaka kuweka Mbowe ndani hata bila kesi inaweza- kutakuwa na kelele sawa lakini atakuwa yuko huko. Hivi unajua sheria ya kuweka watu kizuizini ipo na haijafutwa ila kwa sababu viongozi wetu ni waungwana hawaitumii- kama ile sheria ya kunyonga- ipo ila hakuna anayeyonyongwa.
SASA KAMA NI HIVYO KWA NINI HII KESI IPO NA ITAKUWEPO MPAKA 2025 KWA HUU MWENDO WA MAPINGAMIZI SIJUI KESI NDOGO NDANI YA KESI KUBWA?
IGP alisema Mbowe si malaika ni mtu na ushahidi tunao- twende mahakamani
CHADEMA
1. Mbowe hawezi kukamatwa- kakamatwa
2. Mbowe hawezii kufikishwa mahakamani- kesi ipo
3. Kesi haina ushahidi- leo tuna shahidi wa 10
4. POLISI hajui PGO- BLAH BLAH
..nimeisoma sheria ya ugaidi kama ulivyoileta kwenye post yako.
..upande wa mashtaka wamedai wanao mashahidi 21, na mpaka sasa hivi mashahidi 10 wamefika mahakamani.
..bado sijasikia ushahidi usio na shaka unaowaunganisha washtakiwa na tuhuma zilizoko mbele yao.
..kungekuwa na ushahidi na mashahidi wenye mashiko, usingesikia hayo maswali ya pgo au mengine unayodai hayana maana.
..mapungufu ya maswali ya upande wa utetezi yanatokana na mapungufu ya ushahidi na mashahidi wa upande wa mashtaka wanaofika mahakamani.