Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021

Kulingana na ushahidi wa mwanasheria wa tiGO, namba ya Mbowe ambayo ni 0719933386 ilifanya muamala wa tiGO-Pesa kwenda Airtel-Money namba 0787555200 ambayo usajili wake unaonesha ni wa mtu anayeitwa Dennis Urio.

Huyu Dennis Urio pia tulisikia shahidi wa kwanza kabisa akimtaja kama ndiye aliyepeleka taarifa kwake kama msamaria mwema juu ya kuombwa na Mbowe amtafutie makomandoo wastaafu wa jeshi kwa shughuli maalumu.

Bila shaka huyu Dennis Urio has a lot to tell the tale. Kwa maoni yangu huyu ndiyo alipaswa awe shahidi namba 1 maana yeye ndiyo link kuu kati ya jamhuri na washitakiwa, yeye ndiyo recruiter wa washitakiwa na pia ndiye mtonyaji mkuu kwa mamlaka.

Pia Airtel nao wamehusishwa kwa namna moja hapa, huenda nao wakahitajika kuja kutoa ushahidi kama walivyofanya tiGO. Ngoja tuone na wao kama watatuambia mteja ana nafasi gani kwenye kampuni yao katika upande wa data protection.

Screenshot_20211104-010507.jpg
 
Kulingana na ushahidi wa mwanasheria wa tiGO, namba ya Mbowe ambayo ni 0719933386 ilifanya muamala wa tiGO-Pesa kwenda Airtel-Money namba 0787555200 ambayo usajili wake unaonesha ni wa mtu anayeitwa Dennis Urio...
Tungeni uongo lakini mwisho wenu umefika rasmi , tozo za serikali zimeanza lini ? mbumbumbu mnatia aibu sana
Huku Urio akiwa ndani ya njama , nani hajui ?
 
Tungeni uongo lakini mwisho wenu umefika rasmi , tozo za serikali zimeanza lini ? mbumbumbu mnatia aibu sana
Huku Urio akiwa ndani ya njama , nani hajui ?
Shusha munkari kamanda, hapo hajatuma pesa inaonekana anatest kujua jinsi la namba ya simu, so limekuja la Denis Urio.

Kimsingi hakuna kesi hapo...
 
Shusha munkari kamanda, hapo hajatuma pesa inaonekana anatest kujua jinsi la namba ya simu, so limekuja la Denis Urio.

Kimsingi hakuna kesi hapo...
kuna mipango mingi sana ya kutengeneza hili jambo
 
Kulingana na ushahidi wa mwanasheria wa tiGO, namba ya Mbowe ambayo ni 0719933386 ilifanya muamala wa tiGO-Pesa kwenda Airtel-Money namba 0787555200 ambayo usajili wake unaonesha ni wa mtu anayeitwa Dennis Urio...
Joined 13/9/2021
 
Tungeni uongo lakini mwisho wenu umefika rasmi , tozo za serikali zimeanza lini ? mbumbumbu mnatia aibu sana
Huku Urio akiwa ndani ya njama , nani hajui ?
Hao sasa wanaparamia kila kitu, kama mfamaji.

Eti Philip Mangula anafanya nini sasa,... semina za akina nani? Mzee atakuwa na kazi ngumu sana wakati huu kuwaaminisha waTanzania kwamba chama chao bado kinasimamia maslahi ya wananchi.

Sioni polisi wakiendelea na kazi ngumu ya kukilinda hiki chama. Kazi hiyo imezidi kuwa ngumu zaidi hata kwa polisi, na huko tuendako, waking'ang'ania kuifanya kazi hiyo itawaondoa mazima mazima.

Tume ya uchaguzi bila polisi ni wepesi sana, hawawezi kufanya lolote kuwalinda CCM.
 
Sina popote ninapodhania bali huo ndio ukweli kuwa ni kesi ya kubumba. Hata mtoto mdogo anajua kabisa ni siasa kishenzi zinaendelea hapo.
Ulisikika ukisema mama ni bora kuliko hayati,sasa umebedilika. Hamna shukurani nyie.
 
Ulisikika ukisema mama ni bora kuliko hayati,sasa umebedilika. Hamna shukurani nyie.

Unadhani mimi ni bendera fuata upepo kama ww? Sina popote nilipowahi kumsifu huyo mama wa kambo wala mwana ccm yoyote, ila huyo mama sio dhalimu kama yule mwendakuzimu.
 
Back
Top Bottom