Yaliyojiri Mahakama Kuu kesi ndogo ya Mbowe, Superitendent Jumanne Malangahe atoa Ushahidi

mimi huwa siwapendi watu wahalifu/waovu.
uhalifu/uovu ni kitu kibaya sana.
siko tayari kumtetea au kuwatetea waovu hata ange kuwa ndugu yangu au rafiki yangu, nikigundua ni mhalifu/muovu lazima nikusaliti.
Mona hukumpinga jiwe alipokuwa katili was kuuwa nakutesa watu au ulikuwa hujazaliwa

Uache unafiki Mungu hawapwndi unafiki.

Sabaya alikuwa analalamikiwa ni kila mtu kwa tabia zake na amethibirisha alikuwa anafanya unyama huwo kwa maelekezo kutoka juu sasa juu ipi unayoifikiri yenye nguvu na raisi asiwezekuichukulia hatua.

Kuna mbunge mmoja wa ccm alikuwa na silaha nyingi na risasi zake leo yuko mitaani anakula maisha yake. Jiulize alizipata wapi silaha hizo ikiwa sibaraka ya ccm na viongozi wake?

Mungu hapendi wanafiki ccm niwauwaji kupitia mikononi mwao na vyombo vya dola.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
waswahili tuna msemo wetu unasema;
"Lisemwalo.....Limoooo........kama sio sasa........."

Mbona hakushitakiwa; Jemsi Mbatia? mbona hakushitakiwa Zito Zuberi Kabwe? mbona hakushitakiwa John Shibuda ambaye ndiye mwenyekiti wa viongozi wa vyama vya upinzani.

Uliwahi kumsikia Shibuda kama mwenyekiti wa viongozi wa vyama vya upinzani akitoa tamko juu ya tuhuma za Mbowe mahakamani ?
tuache mahakama ifanye kazi yake.
??????????????????????????????,,,sijakusoma,,fafanua.Unamaanisha nini
 
Mona hukumpinga jiwe alipokuwa katili was kuuwa nakutesa watu au ulikuwa hujazaliwa

Uache unafiki Mungu hawapwndi unafiki.

Sabaya alikuwa analalamikiwa ni kila mtu kwa tabia zake na amethibirisha alikuwa anafanya unyama huwo kwa maelekezo kutoka juu sasa juu ipi unayoifikiri yenye nguvu na raisi asiwezekuichukulia hatua.

Kuna mbunge mmoja wa ccm alikuwa na silaha nyingi na risasi zake leo yuko mitaani anakula maisha yake. Jiulize alizipata wapi silaha hizo ikiwa sibaraka ya ccm na viongozi wake?

Mungu hapendi wanafiki ccm niwauwaji kupitia mikononi mwao na vyombo vya dola.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
lkn leo hii Sabaya yupo wapi....Jela miaka 30.
hiyo ndiyo haki yake kwa mujibu wa sheria.
huo ndio utawala wa sheria.
hata Mbowe hayupo juu ya sheria,
hata mimi na wewe hatupo juu ya sheria.
tuache sheria ifanye kazi yake.
hupaswi kumuona Mbowe kama malaika, inawezekana kabisa ana maovu yake ambayo hata mke wake hayajui.
 
Jaji: Jaji Nimesikia Hoja zenu Kama namna ambavyo mmeziwasilisha na Nitahitaji Muda wa Kuzipitia.. Itanibidi Kuhairisha ili niweze kupitia na Kesho nifanye Maamuzi.. Kwa Namna ambayo Mmewasalisha kwa muda Mrefu na Mimi Nitahitaji Muda Mrefu Kupitia na Kutoa Maamuzi yangu..

Jaji: Kwa hiyo tukutane Kesho Saa 5 Asubuhi, Basi nahairisha shauri hili mpaka Kesho saa 5, SHAHIDI UTAPASWA URUDI, ILI UAMUZI UKIISOMWA UWEZE KUENDELEA USHAHIDI WAKO, Muwe na Jioni Njema wote

Jaji anatoka
Ukisoma katikati ya mistari utaona kuwa tayari Jaji ameshaamua kutupa hilo pingamizi maana amesharuhusu shahidi arudi kuendelea kutoa ushahidi
 
lkn leo hii Sabaya yupo wapi....Jela miaka 30.
hiyo ndiyo haki yake kwa mujibu wa sheria.
huo ndio utawala wa sheria.
hata Mbowe hayupo juu ya sheria,
hata mimi na wewe hatupo juu ya sheria.
tuache sheria ifanye kazi yake.
hupaswi kumuona Mbowe kama malaika, inawezekana kabisa ana maovu yake ambayo hata mke wake hayajui.
Yawezekana lakini ya Ugaidi Hana. Nawe usijione NI Malika wakuwabashiria watu kuwa waweza Wana hili au like. NIIMANI YANGU kuwa yambkwe NI ya Kisiasa. Ndio yanayo msukubisha. Na siasa za kiafrika unajengewa chuku...Nikumbushe,AKINA Samira Macheri,Mandela,Nyerere,Patria Lumumba,Jina Kwame Inkuruma na wengineo wengi..walibambikwa makosa kisa kukosoa serikali zilizokuwa zawatawala,Ndugu yangu ndio mwendo apitiaao MBOWE. Ya Ugaidi nakana ,Mimi na wewe Kwanza tungejiukiza Ugaidi nini,na kwanini atufanyie Ugaidi Watanzania wenzie. TUMEPEWA KICHWA CHA HABARI NA WAZUNGU CHA NENO UGAIDI,BASI TUNATUMIA KUUANA WENYEWE KWA WENYEWE..kUNYANYASANA ,Hilo neno limepelekea juww na wanao tawala na wanao tawaliwa. Hivi hatusomi Historia za Zama hizo? Nahisi tunatakiwa UMAKINI zaidi.
 
lkn leo hii Sabaya yupo wapi....Jela miaka 30.
hiyo ndiyo haki yake kwa mujibu wa sheria.
huo ndio utawala wa sheria.
hata Mbowe hayupo juu ya sheria,
hata mimi na wewe hatupo juu ya sheria.
tuache sheria ifanye kazi yake.
hupaswi kumuona Mbowe kama malaika, inawezekana kabisa ana maovu yake ambayo hata mke wake hayajui.
Sawa lakni muache kunyanyasa watu kupitia vyombo vya dola.

Huyo mbowe nathibitisha hilo hana kosa ya hilo mnalomsingizia.

Hakuna mkamilifu lakni unyama unaofanywa na policcm hata wakifa kambi mzima sichukii kwa sbabau hawafanyi kama sheria inavyotaka bali hufanya kwa kuwafurahisha ccm na viongozi wao.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Siasa za visasi nchi hii vilianza rasmi 2016 wakati wa kumtafuta mrithi wa JK, Vita ikawa kubwa ndani ya CCM, uadui ukawa mkubwa kati ya kambi na kambi. Baada ya CCM kumpa urais waliyempa hali ikawa ni mbaya zaidi, uhasama ukahama toka makundi ya CCM na kurudi kwa raia wote - aliyempiga rais hata kwa mambo ya msingi alikipata anashostahili, vyama vya siasa navyo nikazuiwa kufanya siasa nchini hadi leo wanafanya katika mazingira magumu mno.

Hadi leo kinachoendelea kwa Mh. Mbowe ni mwendelezo wa siasa za chuki na kukomoana. Sina uhakika kama nchi yetu itarudi kwenye upendo na kuheshimiana uliokuwapo tangu enzi zile za mwalimu mpaka hadi 2015 upendo ulipokoma rasmi.
Hakika huku Jk akiogopa upinzani nje ya chama akajikuta anampitisha Mtu hatari kwenye kuua umoja na mshikamano wa Taifa hili pendwa la Mwlm JK Nyerere...Na bado inaonyesha hakna anaeweza kuirudisha ile hali. MANA J ULIMWENGU AMEJARIBU KUWAPA OLE..watawala wanamjia juu...bila kujali kuwa alikua anawaonya juu ya mbinu chafu za uongozi. Na hatma ya Nchi!!
 
Sawa lakni muache kunyanyasa watu kupitia vyombo vya dola.

Huyo mbowe nathibitisha hilo hana kosa ya hilo mnalomsingizia.

Hakuna mkamilifu lakni unyama unaofanywa na policcm hata wakifa kambi mzima sichukii kwa sbabau hawafanyi kama sheria inavyotaka bali hufanya kwa kuwafurahisha ccm na viongozi wao.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Mkiacha vitendo vya kihalifu, ukorofi, matusi n.k hakuna atakaye wasumbua, ila kama mkiendekeza tania za kihalifu, ukorofi, matusi, ujambazi, uzaji madawa n.k mtakabiliana sana na mkono wa sheria.
nawashauri wafuasi wa Mbowe wote waamue kuwa Raia wema hakuna atakaye wasumbua.
Jifunzeni kufuata sheria na kuheshimu mamlaka zote zilizopo kisheria kama vile;
Polisi, Mahakama, Bunge na Viongozi wote wa Serikali.
 
Hebu twende kwenye hoja zako tukuamini.

Nataka unitajie yoyote ambaye amefanya kitendo chá kihalifu akakutwa na hatia na mahakama na kuhukumiwa kifungo kutoka chadema.

Yoyote anaekamatwa ni kwasababu yakutetea ujinga mnaoufanya na kumuona ni adui kwenu. Ni wangapi wamekamatwa kwasababu ya kauli za viongozi waongo was kiccm ambao hawawezi kujibu hoja kwa hoja na badala yake hutumia vyombo vya dola na kubambikiwa kesi.

Hivi kweli kiongozi au mwanachama wa chadema auwe kweli asifungwe?

Ni wangapi waliokamatwa na kuachiliwa kisa dpp hana nia ya kuendelea na kesi?

Aliyekamatwa kwa mauaji anaachiliwa tu kisengesenge?

Kiufupi jibuni hoja mbadala badala ya kutumia nguvu ya vyombo vya dola.

Angalia mnavyoaibika mahakamani mlimdanganya rais mnaushahidi wa kutosha lakni yanayofanyika ni ujinga mtupu kila shahidi anatoa tofauti na mwenzake.

Policcm ndio wakamataji,wafunguaji kesi,ndio mashahidi lakni wanaiba mpaka nyaraka zisihotajika kwenye kesi na kuingia na mabomu ati ni ushahidi kabambe.

Hivi nyinyi ccm bila ya vyombo vya dola mnauwezo wa kushinda kweli?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Mkiacha vitendo vya kihalifu, ukorofi, matusi n.k hakuna atakaye wasumbua, ila kama mkiendekeza tania za kihalifu, ukorofi, matusi, ujambazi, uzaji madawa n.k mtakabiliana sana na mkono wa sheria.
nawashauri wafuasi wa Mbowe wote waamue kuwa Raia wema hakuna atakaye wasumbua.
Jifunzeni kufuata sheria na kuheshimu mamlaka zote zilizopo kisheria kama vile;
Polisi, Mahakama, Bunge na Viongozi wote wa Serikali.
Huyu haya madude aliyapata wapi?
IMG_20211111_073016.jpg

Kwa matusi ccm ndio kinara wa hayo, wauwaji, watekaji,wadhulumati,wanafiki na kila aina ya dhambi basi ccm ndio mfanyaji wa hayo.
IMG_20211112_082906.jpg

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nadhani maana ya jaji ni kuwa, kwa kuwa kinachobishaniwa ni ama register ipokelewe au la. Na isipopokelewa Bado shahidi ataendelea na ushahidi wake. Na ikipokelewa Bado ataendelea na ushahidi
Akajinyonge ikulu kwa Gaidi chief Hangaya period
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom