nautaka tena
Senior Member
- Jun 29, 2021
- 182
- 213
Duuh Leo mbona shuguli yaan jaji kapaniki, mawakili uchwara wa jamhuri vululu, lumumba mavi chupini Kama huyu jamaa hapa mmamae Sheria ni noma...namgonga mamayako hapa tena back

Wazazi wako wamepata faida kubwa mno kuwa na mtoto kama wewe.1. Hakika kabisa, hii kesi siyo ngumu. Ugumu unakuja kwa sababu Jaji analazimishwa kutoa maamuzi kwa kupinda sheria
2. Ni sawa na kusema, kutiririka kwa maji ya mto naturally ni rahisi tu. Lakini ukitaka kuyalazimisha maji ya mto yatiririke kurudi yaliko toka, utapata shida sana na automatic hutaweza. Ndivyo anavyotaka kufanya Jaji katika kesi hii, kulazimisha maji yatiririke kupandisha mlima...!
KIINI CHA MAWAKILI WA JAMHURI KUKOMAA KUIZUIA BARUA HIYO ISIPOKELEWE NI:
Naona mtanange umenoga sana. Palipofika ni patamu na patampa taabu sana jajiKesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3 inaendelea mahakani ambapo upande wa washtakiwa wanatoa ushahidi, abdalah Mohamed Ling'wenya anaendelea leo.
Kujua kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Upande wa Utetezi waanza kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka 26 Novemba, 2021
Da! Huku kuandika bila kusoma kwanza comments si kitu kizuri. Ingawa tulikuwa na mawazo sawa ila wewe jamaa nakupa saluti. Umeelezea vizuri mnoooo1. Hakika kabisa, hii kesi siyo ngumu. Ugumu unakuja kwa sababu Jaji analazimishwa kutoa maamuzi kwa kupinda sheria
2. Ni sawa na kusema, kutiririka kwa maji ya mto naturally ni rahisi tu. Lakini ukitaka kuyalazimisha maji ya mto yatiririke kurudi yaliko toka, utapata shida sana na automatic hutaweza. Ndivyo anavyotaka kufanya Jaji katika kesi hii, kulazimisha maji yatiririke kupandisha mlima...!
KIINI CHA MAWAKILI WA JAMHURI KUKOMAA KUIZUIA BARUA HIYO ISIPOKELEWE NI:
Lisu yuko nao,Wanawasiliana.Hii kesi upande wa utetezi wamejipanga Sana.Fikiria jinsi walivyoshitukizwa Jana na bado wakaunganisha utetezi ulioleta kizazaa mahakamani.Hii kesi hata sio Ngumu kwa Jaji kama Alivyokiri yeye Mahakamani.
Ugumu wa kesi unakuja Kwasababu Jaji anataka kupindisha Sheria. Akitaka Kesi iwe nyepesi kwake basi Afuate Sheria.
Kuliko kuendelea kujidharirisha kwa kuwaambia Mawakili kuwa Hapa mbele mm napata tabu kwasababu nyinyi mko huko nyuma Mmekaa.
Mawakili wa Serikali Kwanini Wanakataa Barua Isipokelewe? Wanaficha Nini? Walikatisha Ushahidi Ghafla Ili mawakili wa utetezi wasipate muda wa kuandaa chochote lakini Ukweli Daima Husimama na Shahidi anaye Jitetea ameweka Wazi na ameonesha anajua anacho kisema na Kufanya.
Hivi TUNDU LISSU hawezi Kuja Kujiunga na Hii Kesi?
Mimi nahisi mojawapo ya haya linaweza kutokea j3 ijayo:1. Hakika kabisa, hii kesi siyo ngumu. Ugumu unakuja kwa sababu Jaji analazimishwa kutoa maamuzi kwa kupinda sheria
2. Ni sawa na kusema, kutiririka kwa maji ya mto naturally ni rahisi tu. Lakini ukitaka kuyalazimisha maji ya mto yatiririke kurudi yaliko toka, utapata shida sana na automatic hutaweza. Ndivyo anavyotaka kufanya Jaji katika kesi hii, kulazimisha maji yatiririke kupandisha mlima...!
Uyu jamaa wa saivi ni mjinga naona adi anajisahau anaonesha kabisa yuko upande wa mashtakaNigumu ila hana ujanja wowote ushahidi uko wazi sana hana namna yoyote
Imagine hawapata muda wa kupewa taarifa kwamba kesho utetezi mnaanza, ila ushahidi wa ling'wenya tu jaji anakurupuka eti shahidi anapewa majibu!Lisu yuko nao,Wanawasiliana.Hii kesi upande wa utetezi wamejipanga Sana.Fikiria jinsi walivyoshitukizwa Jana na bado wakaunganisha utetezi ulioleta kizazaa mahakamani.
Imepelekea watu wamepanic huko hadi wanaongea maneno bila utaratibu.Tunaomba haki itendeke na ionekane ikitendeka kwa ajili ya maslahi mapana ya Taifa letu.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Wamepanic wanaogopa maana wanajua vyote ni vya kifundishwa hakuna kesi ya kueleweka apo na ndo maana juzi hawakusema wamemaliza ushahidi ili tu wasiwape muda mawakili wa utetezi kujiandaa lakini bado utetezi walikuwa tayari kwa lolote adi jaji anakurupuka eti shahidi anapewa majibu!Mawakili wa Serikali kwa nini wanaogopa barua hii isipokelewe?
Akili kichwani mwako, tukutane Monday!!
Hakuna kesi apo ni dhuluma tu wameamua kufanya wanajisahau wanajiona miungu watu! Toka kesi imeanza ushahidi ni kukamata tuu kukamata, tukawapeleka wapi sjui, ila vitendo vya ugaidi vyenyewe havimo sa sjui watakuja kuvieleza kwamba wamefanya wakiwa magereza??Naona mtanange umenoga sana. Palipofika ni patamu na patampa taabu sana jaji
Jinsi nilivyousoma huu mchezo, ni kwamba barua au document mawakili wa utetezi wanayotaka mahakama ihipokee haina tatizo hata kidogo. Mawakili wa jamuhuri wanaona kwamba ikipokelewa inaweza ikawa ndio mwisho wa kesi kwani mambo aliyoomba Lingwenya athibitishiwe kama Kweli alipelekwa central polisi na si Tazara litawaletea shida na itajulikana kuwa hii kesi ni ya kubumba
Nampa salute aliye format hiyo barua.
Wanajeshi waliopo kazini wayaone hayo wanaopitia wenzao walivyotesekaPicha inayojitengeneza iko hivi:
Makomandoo, warriors, Adamoo, Lijenje, Lingwenya na wengine, walifundishwa na Luteni Denis Urio medani za kivita na za kikomandoo na wakaiva vizuri. Ujue kuna bonding inatokea wakati vijana kakamavu wanapofanya mambo ya kishujaa pamoja.
Taifa likawatuma wapiganaji wake hawa Zaire kwenye vita. Mizinga, milio ya risasi na vita vinaweza kuleta tatizo la kisaikolojia linaloitwa post traumatic stress au battle fatigue.
Nchi zilizoendelea huwa zinawasaidia mashujaa wake wanaougua battle fatigue kwa matibabu na namna ya kuishi. Inavyoonekana kwetu walipatiwa matibabu kiasi kisha wakafukuzwa jeshini.
Walibidika kujitafutia maisha. Tunaambiwa walilazimika hata kufanya kazi za kupasua kokoto Mtwara. Mungu sio, Athumani, mwalimu wao akapata habari ya kuwepo kwa nafasi ya kazi ya kuwalinda viongozi wa Chadema. Akawakumbuka wanafunzi wake mashujaa wanaosota, akawaunganisha kwenye hiyo fursa.
Chuki zikaanza. Wakatafutiwa makosa.
Naona kwenye picha walivyokonda sana. Bila shaka wamepitia mateso mengi. Kosa lao ni lipi? Walianza kwa kujiunga na jeshi ili wailinde nchi yetu. Shukrani yetu iko wapi?
The Palm Tree respect Sana1. Hakika kabisa, hii kesi siyo ngumu. Ugumu unakuja kwa sababu Jaji analazimishwa kutoa maamuzi kwa kupinda sheria
2. Ni sawa na kusema, kutiririka kwa maji ya mto naturally ni rahisi tu. Lakini ukitaka kuyalazimisha maji ya mto yatiririke kurudi yaliko toka, utapata shida sana na automatic hutaweza. Ndivyo anavyotaka kufanya Jaji katika kesi hii, kulazimisha maji yatiririke kupandisha mlima...!
Maswali yako..na wayasome akina Mahita na Kingai and Co.. Kutafakari Unyama waliowafanyia watu hawa. Mimi ua natafakari kwani kigezo cha kupata maelezo ya mtu kwann kiwe ni Kutuza utu wa mtu? Hivi kwani ni binadam uwe Na Unyama zaidi ya Wanyama wa Polini? Hivi tabia hizi za kinyama ni mafunzo ya kambini ama Makosa ya malezi kwa wazazi wao?Picha inayojitengeneza iko hivi:
Makomandoo, warriors, Adamoo, Lijenje, Lingwenya na wengine, walifundishwa na Luteni Denis Urio medani za kivita na za kikomandoo na wakaiva vizuri. Ujue kuna bonding inatokea wakati vijana kakamavu wanapofanya mambo ya kishujaa pamoja.
Asante mkuu kwa maelezo hayaThe Palm Tree respect Sana
Ni sawa mkuu. Mimi maoni yangu atatoa maamuzi kuipendelea Jamhuri lkn siku hiyohiyo atajiondoa kwenye kesi.Mimi nahisi mojawapo ya haya linaweza kutokea j3 ijayo:
Mwamuzi anaweza akapata dharula itakayomfanya ashindwe kuja mahakamani j3
Mwamuzi anaweza akaamua kujitoa weekend hii na j3 akaenda kutangaza uamzi wake
Dipipiii anaweza akatangaza kutokuwa na nia ya kuendelea na hii kesi
Mwamuzi anaweza kuamua barua ipokelewe na koti japo ni rahisi kwa ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko hicho kijikaratasi kupokelewa na koti; na
Mwamuzi anaweza akaamua kwa kutumia kigezo almaarufu cha "kwa maoni yangu" kuipa ushindi sirikali (na hili ndilo linalodhaniwa kwamba ndilo litakalotokea).
Yamkini naweza nisiwe sahihi sana lakini hayo ndiyo maoni yangu.
Inasikitisha sana, na hao wote waliyofanya huo huonevu watalipa hapa hapa duniani na AlheraPicha inayojitengeneza iko hivi:
Makomandoo, warriors, Adamoo, Lijenje, Lingwenya na wengine, walifundishwa na Luteni Denis Urio medani za kivita na za kikomandoo na wakaiva vizuri. Ujue kuna bonding inatokea wakati vijana kakamavu wanapofanya mambo ya kishujaa pamoja.
Taifa likawatuma wapiganaji wake hawa Zaire kwenye vita. Mizinga, milio ya risasi na vita vinaweza kuleta tatizo la kisaikolojia linaloitwa post traumatic stress au battle fatigue.
Nchi zilizoendelea huwa zinawasaidia mashujaa wake wanaougua battle fatigue kwa matibabu na namna ya kuishi. Inavyoonekana kwetu walipatiwa matibabu kiasi kisha wakafukuzwa jeshini.
Walibidika kujitafutia maisha. Tunaambiwa walilazimika hata kufanya kazi za kupasua kokoto Mtwara. Mungu sio, Athumani, mwalimu wao akapata habari ya kuwepo kwa nafasi ya kazi ya kuwalinda viongozi wa Chadema. Akawakumbuka wanafunzi wake mashujaa wanaosota, akawaunganisha kwenye hiyo fursa.
Chuki zikaanza. Wakatafutiwa makosa.
Naona kwenye picha walivyokonda sana. Bila shaka wamepitia mateso mengi. Kosa lao ni lipi? Walianza kwa kujiunga na jeshi ili wailinde nchi yetu. Shukrani yetu iko wapi?
Umeongea kitu kizito sana, Mungu akasimame nawe kwenye majonzi.Picha inayojitengeneza iko hivi:

Jaji akiikubali hiyo barua jamuhuri itakuwa na mitiani mkubwa sana maana itabidi wamthibitisha Lingwenya kama alivyoombaMimi nahisi mojawapo ya haya linaweza kutokea j3 ijayo: