Yaliyojiri: Lowassa kuchukua fomu ya Urais Makao Makuu ya CHADEMA

Mtia nia kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa ametangaza kuwa atafanya kampeni ya hoja kwa hoja dhidi ya CCM, ametoa kauli hiyo baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya CHADEMA kuwania urais, "tukijipanga tukajiorganize vizuri, tutapata ushindi bila shida" alieleza "mwaka huu ni hoja kwa hoja, CCM haiwezi kufua dafu" alisisitiza Lowassa.

ngoja ajimalize
 
Kwa miaka saba aliyokaa bungeni hajawahi kusikika akikemea ufisadi iweje Leo atuambie ana siasa za hoja kwa nchi hii iliyogubikwa name wimbi la ukwapuaji wa mabilioni ya uma.
 
Yani aende Mwanza kunadi kina Bulaya akose nafasi ya kumpatia form EL?
Ile ni Ofisi yake, ina maana hizo shughuli za vyama anafanyia Ikulu na Jk?
Wacha kujifariji labda uniambie yuko kanisani anatubu

Hivi mbona unang'ang'ania ndoto? Unataka kuwapangia Cdm ratiba?
 
Lowasa Ndo Baba Wa Taifa Hili Changa Ukubali Ukatae, Hata Policcm Wanajua Hvy Na Ndo Maana Hawakuthubutu Kurusha Hata Tone La Bomu, Si Hvy Tu, Bodaboda Zaidi Ya Mia Moja Zilipita Mjini Posta Bila Kukamatwa, CHAGUA LOWASA CHAGUA MAENDELEO YAKO. AHSANTE.

Ambaye angethubutu kukamata bodaboda angekuwa ameyachoka.maisha yake
 
Hana lolote kanunua ugombe kwa 10bl chezea Mbowe wewe yuko kibiashara zaidi na manywele washauri wake wanataka hizo pesa zake za kifisadi tu

Mbona unalialia, kama unaushahidi nenda mahakamani
 
Kitendo cha kufanyika halfa baada ya uchukuzi wa fomu ya ugombea kwa nafasi ya urais kupitia chadema, kimevuruga utaratibu mzima wa uchukukuzi fomu kwa nafasi ya uarais.

Kitendo cha hafla hiyo ya uchukuzi wa fomu kwa Kamanda Lowassa, kupata mapokezi yaliyoambatana na hotuba fupi za viongozi wakuu wa chama, umedhihirisha kwamba hakuna demokrasia katika Chadema.

Ni kama vile tayari ameshateuliwa, jambo ambalo si sahihi kimantiki.

Ili mchakato uwe huru, ili takiwa viongozi wakuu wa chama wajiweke pembeni na kuacha wenye nia wote kuchukua fomu bila kuonyesha support kwa watia nia waziwazi.

Itakua ajabu sana, kama atajitokeza mtu mwingine katika Chadema kutaka kugombea nafasi hiyo, ilhali inajidhihirisha wazo kabisa, kwamba wakuu wote wako upande wa nani.

Kwa minajili hiyo mchakato mzima wa uteuzi kwa nafasi hiyo kupitia Chadema, hautakua huru na wa haki.
 
Sawa lakini yanakuhusu nini??
My concern is to see a democratic process in the nomination despite being not a member for that party, i am just a concerned citizen, on top of that, Lowasa cried foul of the whole nomination process in CCM calling it undemocratic, halafu anakuja chadema anafanya yale yale anayoyapigia kelele CCM, so the order of the day remains, hajahama ccm kwakua uteuzi haukua wa haki, bali amefanya hivyo kwa nia ya kugombea nafasi ya urais tu, kwa kua huku ataipata basi wacha agombee..
 
Vyama vingi vya siasa viongozi wanawapa uhuru wagombeya wao bila viongozi kuonyesha upendeleo,sasa na shidwa kuelewa kuhusu lowassa anapewa fomu ya urais na saa hiyo hiyo lissu anazungumza kama ameshinda,sasa hiyo ndiyo katiba ya CDM au Mimi ndiyo sielewi mchakato unavyotakiwa kufanyika ndani ya chadema?
 
Kwamba ulitaka washindanishwe? kweli umeelewa malengo ya ukawa wewe?! lowassa sio chaguo la chadema tu bali la ukawa, sasa unataka nini hapa?! acha kukariri maisha!
 
Malengo ya UKAWA na kuingia ikulu kwa njia yeyote ile, hata kama ni kwa kupitia fisadi. Ndio maana CCM wamepata haki ya kutumia mbinu yoyote ile ili mradi wabaki madarakani. Tuone nani mjanja
 
Vyama vingi vya siasa viongozi wanawapa uhuru wagombeya wao bila viongozi kuonyesha upendeleo,sasa na shidwa kuelewa kuhusu lowassa anapewa fomu ya urais na saa hiyo hiyo lissu anazungumza kama ameshinda,sasa hiyo ndiyo katiba ya CDM au Mimi ndiyo sielewi mchakato unavyotakiwa kufanyika ndani ya chadema?
Kama huelewi kama pembeni, hatuna muda wa kueleweshana kwa Sasa, Utaelewa mwenyewe ikifika 26/10/2015
 
30 Reactions
Reply
Back
Top Bottom