Mtia nia kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa ametangaza kuwa atafanya kampeni ya hoja kwa hoja dhidi ya CCM, ametoa kauli hiyo baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya CHADEMA kuwania urais, "tukijipanga tukajiorganize vizuri, tutapata ushindi bila shida" alieleza "mwaka huu ni hoja kwa hoja, CCM haiwezi kufua dafu" alisisitiza Lowassa.
Mtia nia kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa ametangaza kuwa atafanya kampeni ya hoja kwa hoja dhidi ya CCM, ametoa kauli hiyo baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya CHADEMA kuwania urais, "tukijipanga tukajiorganize vizuri, tutapata ushindi bila shida" alieleza "mwaka huu ni hoja kwa hoja, CCM haiwezi kufua dafu" alisisitiza Lowassa.
Yani aende Mwanza kunadi kina Bulaya akose nafasi ya kumpatia form EL?
Ile ni Ofisi yake, ina maana hizo shughuli za vyama anafanyia Ikulu na Jk?
Wacha kujifariji labda uniambie yuko kanisani anatubu
Lowasa Ndo Baba Wa Taifa Hili Changa Ukubali Ukatae, Hata Policcm Wanajua Hvy Na Ndo Maana Hawakuthubutu Kurusha Hata Tone La Bomu, Si Hvy Tu, Bodaboda Zaidi Ya Mia Moja Zilipita Mjini Posta Bila Kukamatwa, CHAGUA LOWASA CHAGUA MAENDELEO YAKO. AHSANTE.
Hana lolote kanunua ugombe kwa 10bl chezea Mbowe wewe yuko kibiashara zaidi na manywele washauri wake wanataka hizo pesa zake za kifisadi tu
Kwanini hajavaa gwanda au nguo ya Chama?
My concern is to see a democratic process in the nomination despite being not a member for that party, i am just a concerned citizen, on top of that, Lowasa cried foul of the whole nomination process in CCM calling it undemocratic, halafu anakuja chadema anafanya yale yale anayoyapigia kelele CCM, so the order of the day remains, hajahama ccm kwakua uteuzi haukua wa haki, bali amefanya hivyo kwa nia ya kugombea nafasi ya urais tu, kwa kua huku ataipata basi wacha agombee..Sawa lakini yanakuhusu nini??
Vyama vingi vya siasa viongozi wanawapa uhuru wagombeya wao bila viongozi kuonyesha upendeleo,sasa na shidwa kuelewa kuhusu lowassa anapewa fomu ya urais na saa hiyo hiyo lissu anazungumza kama ameshinda,sasa hiyo ndiyo katiba ya CDM au Mimi ndiyo sielewi mchakato unavyotakiwa kufanyika ndani ya chadema?
Sasa fomu ya urais alipewa na mbowe alikuwa ya nini sasa.Kwamba ulitaka washindanishwe? kweli umeelewa malengo ya ukawa wewe?! lowassa sio chaguo la chadema tu bali la ukawa, sasa unataka nini hapa?! acha kukariri maisha!
Kama huelewi kama pembeni, hatuna muda wa kueleweshana kwa Sasa, Utaelewa mwenyewe ikifika 26/10/2015Vyama vingi vya siasa viongozi wanawapa uhuru wagombeya wao bila viongozi kuonyesha upendeleo,sasa na shidwa kuelewa kuhusu lowassa anapewa fomu ya urais na saa hiyo hiyo lissu anazungumza kama ameshinda,sasa hiyo ndiyo katiba ya CDM au Mimi ndiyo sielewi mchakato unavyotakiwa kufanyika ndani ya chadema?