Yaliyojiri: Lowassa kuchukua fomu ya Urais Makao Makuu ya CHADEMA

Post hii ni ya PICHA zaidi...

attachment.php



attachment.php


attachment.php


attachment.php



attachment.php


attachment.php


69c2a6bbeb04a7f891e433165fee61e3.jpg



_MG_1499.jpg
 

Chademakwanza

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
6,346
1,871
Maandalizi yanaendelea vizuri naona mitaa yote ya Bongo DSM naona barabara zote maelufu kwa maelufu ya watanzania wanazidi kujitokeza kumlaki na kumpungia mkono wa baraka na heri kamanda mpya Eddo Lowasa.

Katibu Mkuu wa CDM ndugu Slaa anatarajia kumkabidhi fomu ya kuomba ridhaa ya wanachadema.

Mbeya na Iringa kaeni mkao wa kumuona Lowassa ndani ya Gwanda siku ya kesho.

Updates
Watu na viongozi mbalimbali walio alikwa ndio wanaingia kwenye viwanja vya office ya Makao makuu ya chadema.
Viongozi wakuu wa chama wameshaingia na taratibu za hapa na pale zinaendelea





Lowassa1.jpg
Mhe. Edward Lowassa akiwasili makao makuu ya Chadema Kinondoni jijini Dar es salaam leo Alhamisi 30 Julai 2015, Kwa ajili ya kuchukua fomu

lowassa2.jpg
Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe. Freeman Mbowe (Wa kwanza kushoto) akizungumza na Edward Lowassa na mke wake Regina Lowassa (wa kwanza kulia) alipowasili katika ofisi za Chadema makao makuu kwa ajili ya kuchukua fomu, (Wa pili kushoto) ni naibu katibu mkuu Zanzibar Salum Mwalimu

11059601_385091355016802_8885760366441846382_n.jpg
Mwanasheria mkuu wa Chadema Mhe. Tundu Lissu akiongea katika ghafla fupi ya Mhe.Edward Lowassa akichukua fomu katika ofisi za Chadema makao makuu jijini Dar e salaam

Mbowe Lowassa.jpg
Mwenyekiti wa Chadema (Kushoto) Mhe. Mbowe, na Mhe. Edward Lowassa (katikati) wakati wa zoezi la kuchukua fomu lililofanyika makao makuu ya Chadema
 
Last edited by a moderator:
Hizo updates ziambatane na picha tafadhali...
Kila la kheri Lowassa.

Watu wana roho mbaya sana jamani,eti hawataki wakuone kwenye hili jukwaa,wanadai jukwaa lako ni lileeeeee lenye mambo ya akina Kiba na fulani mwenye domo fulani hivi!.....watu ni wabaya kweli kweli yaani!!!
 
Back
Top Bottom