Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,871
- Thread starter
- #1
Post hii ni ya PICHA zaidi...
Mbona nilisikia Dr Slaa yupo Marekani?
Hana lolote kanunua ugombe kwa 10bl chezea Mbowe wewe yuko kibiashara zaidi na manywele washauri wake wanataka hizo pesa zake za kifisadi tu
Mbona nilisikia Dr Slaa yupo Marekani?
Hizo updates ziambatane na picha tafadhali...
Kila la kheri Lowassa.
amepita bila kupingwa.Hivi kuna mwanachama mwingine wa CDM aliyechukua fomu ya kugombea urais?
Kuna pambio linaimbwa JIPE MOYOHana lolote kanunua ugombe kwa 10bl chezea Mbowe wewe yuko kibiashara zaidi na manywele washauri wake wanataka hizo pesa zake za kifisadi tu
Ajabu watu wenyewe ndio walewale tunaoshinda nao kule.Watu wana roho mbaya sana jamani,eti hawataki wakuone kwenye hili jukwaa,wanadai jukwaa lako ni lileeeeee lenye mambo ya akina Kiba!.....watu ni wabaya kweli kweli yaani!!!