Yaliyojiri: Lowassa kuchukua fomu ya Urais Makao Makuu ya CHADEMA

Wana Jamvi,

Baada ya kumpokea Mh. Lowassa, upepomkari wenye dhoruba unaonekana kuzoa kila kitu CCM, sasa CCM inapanga mbinu mpya zitakazolenga kumdhoofisha na kumdololesha kwa kumsumbua ili aje aonekane alikuwa mjonjwa na afai, kwa sasa ameonikana yuko fiti zaidi baada ya kutema nyongo iliyokuwa imemkaba na kumtesa na jamii kumwelewa, nyongo hiyo alitaka kuitema mapema kwenye mkutano wa NEC ya ccm akakatazwa na wakubwa kuwa angekivua chama.

Sasa ni nyakati za liwalo na liwe CCM kwa ujumla itatafuta namna yoyote ya kumdhuru, wananchi wapenda mabadiliko tutajitahidi kumlinda kwa nguvu zote safari hii, isiishie hapo itabidi tununue vifaa maalum vya kumkinga ili asizurike maana polici wa kitengo ni lazima wakitumwa kutekeleza majukumu ya chama hawawezi kumwacha salama maana hajazoea zile kashi kashi za mapambazo zaidi ya kutembea na vingora huku barabara ikisafishwa.
 
Haha ha ha! Hivi kwa mtazamo wa kawaida ccm inaweza kuwa mtoto mzuri hivi??.wapandisha kodi,wezi,walaghai etc
 
Maandalizi yanaendelea vizuri naona mitaa yote ya Bongo DSM naona barabara zote maelufu kwa maelufu ya watanzania wanazidi kujitokeza kumlaki na kumpungia mkono wa baraka na heri kamanda mpya Eddo Lowasa.

Katibu Mkuu wa CDM ndugu Slaa anatarajia kumkabidhi fomu ya kuomba ridhaa ya wanachadema.

Mbeya na Iringa kaeni mkao wa kumuona Lowassa ndani ya Gwanda siku ya kesho.

Mr. Emmy, ninavyokujua siku zote wewe ulikuwa CCM, sasa sijui na wewe mafuriko ya Lowasa yamekusomba pia?. Nauliza hivi kwasababu umetangulia kuandika uzi huu wa Lowasa live lakini hakuna updates zozote unazoleta zaidi. Au ni strategy ya kuzuia wale wenye access ya kutuletea live updates wasifanye hivyo????

Kama ulijua hauna access na live updates za Lowasa usingejitia kimbelembele kuanzisha huu uzi wakati unajua kuna wenye uwezo kama Magazetini wenye uwezo wa kufanya hivyo kwa ustadi wa hali ya juu.

Napata wasiwasi kama uko eneo la tukio na kama una nia njema ya kutuletea live updtaes kama subject hapo juu inavyoonyesha.

Naomba ufaafanuzi kwa concerns zangu tafadhali.
 
Hapo ni makao makuu ya Chadema Lowasa akisubiliwa kuchukua fomu
mapokezi ya lowasa.jpg
 
mkuu lowasa na chadema ndio watanyooka kwasababu mwaka huu ikulu bado n ndoto, wataendelea kwenda ikulu kwa mwaliko ila sio kiungoz


kabla ya sadaka ukawa watakuwa ikulu...kwa wale watakaoanzia kanisani siku hiyo ya kupiga kura...kabla hawajatoa sadaka ukawa watakuwa wameshatakata....jifungue ufahamu tu jambo hili liko wazi
 
Unataka kututafutia mada kesi au?

Huyu mtu kaishajifia siku nyingi

He is a walking dead man.... huoni afya yake ??
 
Back
Top Bottom