Yaliyojiri: Lowassa kuchukua fomu ya Urais Makao Makuu ya CHADEMA

Mh. Lowasa watanzania wanakutakia kila la heri katika safari yako ya matumaini na uhakika..tunategemea ukombozi WA kweli kutoka kwa UKAWA.
 
Sipat picha lowasa akiwa rais kuna watu kama:
.Vasco da gama wa msoga na mwanaye watafute makaz kabisa Autralia.
. Nape nnauye atafute nchi yake,
. Bwana makonda naona alilewa uDc sasa sijui atakimbilia wapi.
. Mwakyembe kaka ukajisajili kabisa malawi,
. Mzee wa kusafirisha twiga kwenye box utajuta kuacha jeshi na kukimbilia siasa.

======== = ==========

sasa hatar zaidi ni pale huyu mzee atakapo shindwa kushika urais:
Chadema andaen jeneza maana mzee atazimia gafla na kukata moto
. Chadema ndio itakuwa mwisho wa ushindan kwenye siasa za Tz

Hatuamini katika kufukua makaburi...
 
Hivi kuna mwanachama mwingine wa CDM aliyechukua fomu ya kugombea urais?

Wanachama wamepigwa stop kuchukua fomu.Lowassa apite. sasa sijuwi alichokimbia ccm ni kipi maana anasema mchakato haukufuatwa.tujiulize je chadema mchakato umefuatwa.? Demokrasia ipo wapi hapo?
 
Back
Top Bottom