Yaliyojiri: Lowassa kuchukua fomu ya Urais Makao Makuu ya CHADEMA

wataikoma mwaka huu..ule wimbo wa tuna imani na lowasa sijui waliutunga ukawa coz kiitikio kiliimbwa vizur kwelikwel na kwa umahiri wa hali ya juu kuliko kule dodoma!!
 
slaa roho inamuuma sana,yaani wamemkata mzee wa watu hiiiiiviii hiiiviii.
 
Hawa wa bao la mkono dawa yao ni kufanyiwa ftina tu, adui wako muombee njaa na mwaka huu wataisoma
Mkuu endelea kutujuza wengine tupo vijijini na tunatamani kujua nini kinaendelea huko makao makuu ya CDM
 
Sipat picha lowasa akiwa rais kuna watu kama:
.Vasco da gama wa msoga na mwanaye watafute makaz kabisa Autralia.
. Nape nnauye atafute nchi yake,
. Bwana makonda naona alilewa uDc sasa sijui atakimbilia wapi.
. Mwakyembe kaka ukajisajili kabisa malawi,
. Mzee wa kusafirisha twiga kwenye box utajuta kuacha jeshi na kukimbilia siasa.

======== = ==========

sasa hatar zaidi ni pale huyu mzee atakapo shindwa kushika urais:
Chadema andaen jeneza maana mzee atazimia gafla na kukata moto
. Chadema ndio itakuwa mwisho wa ushindan kwenye siasa za Tz
 
Haya sasa waliokuwa wanasema kuwa Slaa anajiuzulu ngoja muumbuke....Ninachokiona hapa chadema wanacheza na media ambazo wanajua kuwa zipo against nao ili kuwashushia Credibility, huwezi amini Gazeti lenye hadhi kama Mwananchi, Tanzania daima, Mtanzania na Nipashe yasiandike habari hizo.

"Shetani akizeeka anakuwa Malaika"
 
Back
Top Bottom