Yaliyojiri leo Desemba 12, 2019 kwenye mkutano wa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB)

kibokomchapaji

Senior Member
Aug 18, 2017
165
307
JAPHET JUSTINE NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MAFANIKIO YA TAASISI HIYO KATIKA MIAKA MINNE YA SERIKALI YA AWAMU YA TANO

- Benki hii ilianza mwaka 2015 kama benki ya kisera kwa lengo la kuboresha na kuendeleza kilimo hapa nchini.

- TADB imefanikiwa kukuza mtaji wake kutoka shilingi bilioni 60 mwaka 2015 hadi bilioni 68 mwaka huu

- Mwaka 2017 Serikali iliipatia TADB shilingi bilioni 208 kama mkopo wa muda mrefu na shilingi bilioni 44 kama fedha za kukopesha benki zingine

- Kwa mwaka huu TADB imetoa mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 148.12

- TADB imefanikiwa kutoa mafunzo ya kuwajengea uwezo wakulima 20,399

- TADB imeweza kufika mikoa yote nchini kwa kushirikiana na benki 8 zenye matawi nchi nzima ambazo ni FINCA, TACOBA, UCHUMI, STANBIC, MUCOBA, TPB, CRDB NA NMB.
 
tatizo masharti ya hiyo mikopo magumu sana kwa mkulima mdogo, haisaidii chochote mkulima mdogo
 
Back
Top Bottom