Yaliyojiri kwny uchaguzi wa MAT Moshi

gabatha

Senior Member
Apr 6, 2012
127
52
Mdau aliekwepo kwny mkutano wa uchaguzi wa viongozi wa MAT atujuze, yasemekana vurugu zimezuka baada ya kupitisha majina ya wagombea ambao hawkubaliki na madaktri wengi nchin, Mf:dr. Haonga na dr. Kabangila.
 
serikali ilipanga kuweka mamluki kama ilivyofanya TAHILISO lkn imeshindwa,
 
Back
Top Bottom