Yaliyojiri kwenye ukaguzi wa Polisi katika Ofisi za JamiiForums na Nyumbani kwa Mkurugenzi, Maxence

Kwa wachangiaji wote wa Jamii forum.

Jeshi la polisi muda huu wamevamia ofisi za Jamii media huku walengwa wakubwa wakiwa ni watumiaji wa Jamii forum. Kuna uwezekano mkubwa wakaondoka na baadhi ya vifaa zikiwemo computers na nyaraka nyingine.

Inabidi moderators wa Jamii forum waliopo nje ya Tanzania wafanye kazi kuhakikisha usalama wa watumiaji hasa kwa Tanzania.
 
Nafikiri ni kwa kuwa wamekuwa wakosoaji wa Sizonje, tofauti na wewe chura unayeitikia kila wimbo
Mm nimeuliza kiungwana tu wewe unanitusi nashukuru imenisaidia kujua sababu ya watu kuchawachawa kwa matusi kama haya nadhani na ww nimoja wapo
 
Back
Top Bottom