warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,273
- 18,380
Tufanye kila wanachofanya waskochi?
Sifa moja ya kuwa star ni kuwa unique in terms of everything including mavazi , though mda mwingine mastaa wetu wanachemka..
Tufanye kila wanachofanya waskochi?
Sifa moja ya kuwa star ni kuwa unique in terms of everything including mavazi , though mda mwingine mastaa wetu wanachemka..
One can give him a break and talk about him, you are acting like the two are mutually exclusive.
Moreover, apparently you did not catch the part I said "or maybe don't" , because the whole hoopla looks to play per his grand scheme.
Do you need lessons in basic comprehension?
Kanye West already did that.
Hata wacheza ngoma za asili wanavaa vibwaya, nothing unique in that.
Tunawafata taratibu ktk tamaduni yao, labda tukumbushane tu kua ndio hawa hawa wanaotaka TZ nasisi TURUHUSU NDOA ZA JINSIA MOJA....Hongera Domo kwa kuvunja record
May be he was trying to look a bit different from the rest pale ktma , nadhan baadhi ya mastaa hupenda kuvaa mavaz ya ajabu ili Ku catch peoples attention ,especially kwenye ma event makubwa kama ya juzi.
I covered that. Your assertion is mired in qualified relativity.
wewe umenishtumu sijapiga kura so nimekuonyesha kwamba nimepiga hao wengine sijui mi nimeongelea kwa upande wangu tu ila naamini kwamba wapo wengi tu wliompigia ben pol labda hazikutosha lakini kutokutosha kwa kura hakunifanyi nizuilike kusema kile ambacho naona ni sahihiNa wengine walipiga? Maana yako tu haiwezi kubadilisha matokeo. Maana watanzania huwa hawapigi kura ata kwa siasa
moderatorNani anafanya huu mchezo?? How could my thread get involved into this thread?? , its coordinated to KTMA of course but y??
moderator
Unaposema Kila kinachofanywa na Waskochi, unaamanisha nini na nini?!Tufanye kila wanachofanya waskochi?
hahahaaaaaaaaaaaaaa uje fasta kuniletea
Bado hajashukuru huyo
Unless apate dharula ya msingi..otherwise kama ni kawaida kuna walakini.