Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Mikutano ya kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Kilimanjaro na Tanga

Ila mkuu unaniangusha mnoo!! kweli unashabikia huo mzigo wa miba!!

Hii miiba tuliipanda wenyewe wacha tupambane kuiondoa wote kwa kutofata sheria
Sio wewe mwenyewe unateseka na haya mabadiliko. Ni watanzania wote
 
Kilicho muangusha Lisu ni utetezi wake wa mapenzi ya jinsia mmoja na kutoamini kwamba Mungu ameiepusha Tanzania na janga la virusi vya Corona.
Kwani mmeshahesabu kura mpaka useme kilichomuangusha...subirini watu wapige kura
 
Naamini siyo kwa bahati mbaya hukumalizia kwa kusema au kuandika Mungu ibariki Tanzania ulipenda Bila Shaka kuandika mungu wabariki mabeberu, mungu mbariki Amsterdam

Wewe kibabu kalee wajukuu
 
Kiukweli huwa sielewi mindset ya watu kama nyinyI . You are very advanced in sexology, kwa Nini hamuwezi tu kusema ok, hayo mambo hayanihusu? Kijijini Kwetu sijawahi kusikia ushoga, na hiyo siyo priority yangu. Kijijini Kwetu tuanata maji, afya, na elimu bora yanayobaki tutafanya wenyewe, freedom: that is what Tundu our inspirer talks about
Hawana hoja na vichwa vyao ni vigumu kuelewa hoja za Lissu wamebaki na ajenda ya Ushoga
 
Kiukweli huwa sielewi mindset ya watu kama nyinyI . You are very advanced in sexology, kwa Nini hamuwezi tu kusema ok, hayo mambo hayanihusu? Kijijini Kwetu sijawahi kusikia ushoga, na hiyo siyo priority yangu. Kijijini Kwetu tuanata maji, afya, na elimu bora yanayobaki tutafanya wenyewe, freedom: that is what Tundu our inspirer talks about

Hahahaha
Mkuu hawa jamaa kazi yao ni kujaza watu hasira, usijibizane nao.
Wao wapo kazini na wanalipwa kwa kazi hii
 
Hedaru

Subpost 1 - Hedaru Mpoooooooooh... ( 640 X 640 ).jpg
 
Ikiwa leo ni siku ya Maombi , Sala na Shukrani nchi nzima, Mgombea Urais anayesubiriwa kwa hamu kupigiwa kura na wananchi walio wengi ambapo anatarajiwa kushinda kwa zaidi ya 75%, anaendelea na kampeni ya kuomba kura za kishindo kwenye baadhi ya maeneo ya kilimanjaro na Tanga.

Kama kawaida yetu tutaendelea kuwahabarisha kila kinachojiri mahali pote anapopita.

Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za uhakika

" RAIS MPYA OYEE , TANZANIA MPYA OYEEE "

View attachment 1612406

=========

Hedaru

View attachment 1612784View attachment 1612785View attachment 1612786

Handeni :

View attachment 1612803View attachment 1612804View attachment 1612805View attachment 1612806

SAME :

View attachment 1612947View attachment 1612948View attachment 1612949View attachment 1612950
Lala salama iko njema sana
 
Kanyaga twende baba. Mungu akutangulie.
 
Back
Top Bottom