Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Mikutano ya kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Kilimanjaro na Tanga

Kampeni zimeisha Lissu atunze pesa iliyobaki ya kununua biskuti njiani anaporejea kwao Ubeligiji
 
Kampeni zimeisha lissu atunze pesa iliyobaku ya kununua biskuti njiani anaporejea kwao ubeligiji
Tiketi yake ni ya ndege yenye bonge la mlo wa Kimataifa siyo ya Musukuma Bus Service wanakowauzia abiria biskuti za muhogo, pili atakuwa tayari Rais akisafiri Daraja la Kwanza, abiria wa ndege wanajua manaake.

Ni ujinga kuwa Msukuma anayefikiria Ulaya ya Chato,ujinga zaidi huyohuyo pia kuwa mwanachama wa CCM. Safirini mfunguke macho muone dunia zaidi ya Chato!
 
"Muungano uwe wa HAKI na USAWA" Maalim Seif Jabali la Siasa na Utetezi wa Walionyimwa HAKI

 
Back
Top Bottom