Yaliyojiri kwenye mikutano ya Kampeni za Mgombea Urais wa Chadema Mh Tundu Lissu Mkoani Mara

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
77,464
2,000
Wakuu habari za Jumapili , kampeni ndio kwanza zimeshika kasi , na yule Mgombea Urais anayeongoza kwenye kura za maoni Tundu Lissu atakuwa Mkoani Mara kunadi sera za chama chake na kuomba kura za ndio .

Kama kawaida , endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika

Ratiba ya Mgombea Urais ( 640 X 640 ).jpg

=========
UPDATES 1

Akiwa Mwitongo ambapo alilala nyumbani kwa Mwl Nyerere

Nyerererism... ( 474 X 640 ).jpg

Hapa chini ni wakazi wa Kata ya Kamugengi wilaya ya Butiama walioomba awasalimie

Subpost 4 - Wananchi wa Kata ya Kamugegi Wilaya ya Butiama mkoani Mara wamesimam ( 360 X 640 ).jpg

UPDATES 2
Tarime vijijini

Asante sana Tarime Vijijini kwa @hechejohn sasa tuhakikishe kwa wingi wetu huu n ( 426 X 640 ).jpg

SIRARI - TARIME

jme

JF-Expert Member
Aug 4, 2013
4,541
2,000
Tundu lisu ameonesha kwa kiasi kikubwa yuko tayari kuiona ndoto ya watanzania inatimia ameonesha uwezo mkubwa kwamba haidhuru jambo gani baya litaelekezwa kwake kama kupigwa risasi zidi ya 16 lakini msimamo wake bado ni ule ule hawa ndo aina wapinzani tuliowahitaji kwa muda mrefu kuwa na msimamo
 
Administer

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
678
1,000
Wakuu habari za Jumapili , kampeni ndio kwanza zimeshika kasi , na yule Mgombea Urais anayeongoza kwenye kura za maoni Tundu Lissu atakuwa Mkoani Mara kunadi sera za chama chake na kuomba kura za ndio .

Kama kawaida , endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika

View attachment 1582215

=========
LISSU NI TEGEMEO LETU ATATUFUTA MACHOZI,MAGU KATULIZA
 
mngony

JF-Expert Member
Jul 27, 2012
3,737
2,000
Huyu ni suala la muda tu kuongoza Taifa hili kama sio 2020 basi 2025. Faida ya kampeni zake ni mbili, kampeni lakini pia anatoa Elimu ya Uraia na kuwafungua watu. Hili la pili ndio hatari zaidi, Chama Tawala hakina maisha ya miaka 10 katika serikali kuu. Its too late kwa Chama Tawala, na hakitokuwa chama cha kwanza wala cha mwisho cha Ukombozi kutoka madarakani kusini mwa Jangwa la Sahara. System ianze tu kuwa karibu na watu wa upinzani, ianze kuwashape kuongoza ili Taifa letu libaki kuwa salama, vyama vinapita tu Tanzania itabaki na ni yetu sote

Leo nimepanda daladala watu wanajadili suala la Uwanja wa Chato na suala la uchukuliwaji ardhi kubwa na viongozi. Nikaelewa kwa nini Mkubwa alivyotishia Media zisifanye coverage ya mikutano na kampeni za Lissu.
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
77,464
2,000
Huyu ni suala la muda tu kuongoza Taifa hili kama sio 2020 basi 2025. Faida ya kampeni zake ni mbili, kampeni lakimi pia anatoa Elimu ya Uraia na kuwafungua watu. Hili la pili ndio hatari zaidi, Chama Tawala hakina maisha ya miaka 10 katika serikali kuu. Its too late kwa Chama Tawala, na hakitokuwa chama cha kwanza cha Ukombozi kutoka madarakani kusini mwa Jangwa la Sahara. System ianze tu kuwa karibu na watu wa upinzani, ianze kuwashape kuongoza ili Taifa letu libaki kuwa salama, vyama vinapita tu Tanzania itabaki na ni yetu sote

Leo nimepanda daladala watu wanajadili suala la Uwanja wa Chato na suala la uchukuliwaji ardhi kubwa na viongozi. Nikaelewa Mkubwa alivyotishia Media zisifanye coverage ya mikutano na kampeni za Lissu.
Lissu anamg'oa Magufuli october 28
 
impongo

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
7,973
2,000
Wakuu habari za Jumapili , kampeni ndio kwanza zimeshika kasi , na yule Mgombea Urais anayeongoza kwenye kura za maoni Tundu Lissu atakuwa Mkoani Mara kunadi sera za chama chake na kuomba kura za ndio .

Kama kawaida , endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika

View attachment 1582215

=========
Damu yake imemwagika kwaajili ya ukombozi wa taifa letu.

Mungu Baba wa mbinguni tunakuomba usiku na mchana umlinde Raisi wetu Tundu Lisu na tarehe 28.10.2020 ukasimame naye ashinde kwa kishindo.

Uliweza kumuokoa katika mikono ya mauti kwaajili ya kutuletea ukombozi wa taifa letu tunaomba ukasimame na Lisu.
Ukuu na utukufu unawewe Mungu muumba wa vyote.

Amen
 
storyteller

JF-Expert Member
Nov 5, 2014
1,351
2,000
Nimeona dhamira ya MAgufuli kujisalimisha kwa lisu, ndani yake anajuta, anateseka, hana cha kumlipa, hawezi kuomba samahani... nikaikumbuka ndoto niliyoota mwaka 2016, nliileta humu.... leo nimeona nafsi yake ikiwa shwari kumkabidhi nchi, nae anamuandalia mazingira.....
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
77,464
2,000
Damu yake imemwagika kwaajili ya ukombozi wa taifa letu.

Mungu Baba wa mbinguni tunakuomba usiku na mchana umlinde Raisi wetu Tundu Lisu na tarehe 28.10.2020 ukasimame naye ashinde kwa kishindo.

Uliweza kumuokoa katika mikono ya mauti kwaajili ya kutuletea ukombozi wa taifa letu tunaomba ukasimame na Lisu.
Ukuu na utukufu unawewe Mungu muumba wa vyote.

Amen
Amina
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
7,035
2,000
Wakuu habari za Jumapili , kampeni ndio kwanza zimeshika kasi , na yule Mgombea Urais anayeongoza kwenye kura za maoni Tundu Lissu atakuwa Mkoani Mara kunadi sera za chama chake na kuomba kura za ndio .

Kama kawaida , endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika

View attachment 1582215

=========
Asante sana kwa taarifa. Ila makamanda nimegundua kuwa mambo mengi mazuri ya kampeni za Lissu hatuyapati hapa JF, sijui watu hawaripoti au kuna nini manake nikienda You Tube kuna mengi ambayo makubwa lakini hata headings zake hatuzipati. Tuboreshe zaidi. Pia CHADEMA media tafadhali mnafunika habari nyingi mno za Lissu wakati kuna mengi ya kusisimua kutoka kwa kampeni zake.
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
77,464
2,000
Asante sana kwa taarifa. Ila makamanda nimegundua kuwa mambo mengi mazuri ya kampeni za Lissu hatuyapati hapa JF, sijui watu hawaripoti au kuna nini manake nikienda You Tube kuna mengi ambayo makubwa lakini hata headings zake hatuzipati. Tuboreshe zaidi. Pia CHADEMA media tafadhali mnafunika habari nyingi mno za Lissu wakati kuna mengi ya kusisimua kutoka kwa kampeni zake.
Umesomeka mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom