Elections 2010 Yaliyojiri kwenye kikao cha kamati kuu CCM - jumapili iliyopita

[QUOTE
"Vijana wa sasa hivi kuanzia miaka 18 na kuendelea sijui wameigiliwa na nini vichwani mwao, huko wanakokwenda hakueleweki, kwa kuwa akinamama tumewazaa naomba huko katika familia zetu tuwakalishe chini tuwaase wabaki CCM," alisema Mama Kikwete.][/QUOTE]

Ajira kwa wageni badala ya wazawa ndizo sera za CCM zinazowafukuza vijana kutoka minyororo ya utumwa ya chama hicho
 
vox pupuli vox dei. Amani iwe kwenu nyote. Nawavuvia roho wa bwana akomboae ,maskini na wajane. Doctor Slaa come and come fast
 
Back
Top Bottom