Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Tabora

Tabora vyama vyenye nguvu viuwili tu CCM na CUF WENGINE TAKATAKA
Tabora upinzani Lipumba atapata kura nyingi kuliko Lisu tena atambwaga hasa.CCM itaongoza ikifuatiwa na CUF
 
Nasi tuko live kufuatilia.

Vipi TBC mna chaja hapo?

IMG-20201016-WA0018.jpg
 
Huwa ni vigumu sana kuwashawishi Wanyanyembe ila kwa umati huo Lissu amekubalika kwa Wanamboka Manyema

Geti la Ikulu haliko mbali
 
Kama kawaida yetu , leo tena tuko hewani kuwaletea kila kinachoendelea kwenye kampeni za Mgombea Urais anayeongoza kwenye kura ya maoni , ambapo leo atakuwa anaendelea kuomba ridhaa ya wananchi Mkoani Tabora .

Endelea kutufuatilia hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika

View attachment 1601870

========
DU we dada unapata shida na huyu msindikizaji wa magufuli sana yaani unapata tabu sijui itakuwaje siku jpm anaapishwa pale national stadium?
 
Nimesoma mahali huko urambo watu wamekesha wakimsubiri Lissu na SAS wanahofu ya huruma kutoka kwa Viongozi wa serikali
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kamanda mwenzangu Lissu anapoteza muda,bora tujenge kwanza chama chetu,hapati hata kura laki 2
Wanaopenda CHADEMA ni wasiojielewa, walevi wengi, mtu mwenye akili zake timamu hawezi kuikubali maana haina democrasia wala mipango, kujijenga wenyewe tu hawawezi unategemea wajenge nchi, mabilion ya Ruzuku hawaeleweki yanaenda wapi
Wajinga na wachumia tumbo wapo ccm.
Ongeza juhudi kuramba miguu
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hiyo ni mpaka wafanye editing ya picha na video, hawafanyi live streaming kuna wakati wanazomewa na wananchi. Waambie wafanye live streaming uone wanavyoumbuka.
Nyie ndio Magufuli ameharibu akili zenu kuwaamisisha kuwa binadamu lazima upendwe na kila mtu. Ametumia kila mbinu ikiwa ni pamoja na kufunga midomo ya waTz kwa kutumia vyombo vya dola wasimkosoe na hivyo kujiaminisha kuwa anapendwa sana na waTz wote.

Hizo nyomi unazoona katika mikutano ya TAL ni zomeazomea kwa Mtukufu aliyejiaminisha kuwa anapendwa na kila mTz. Hawawezi kumzomea directly vinginevyo wataishia kupigwa risasi.

Lakini ni zomea tosha na nyie washabiki wa udikteta mnaelewa vizuri. Kwa hivyo, TAL kuzomewa ni halali kabisa, ndivyo dunia ilivyo. Na wewe siku nyingine usiogope kuzomewa.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Lissu karibu sana Tabara kwetu, wanyamwezi ni watu wakarimu mno..... hapa ndipo chimbuko la wapigania haki na demokrasia ya kweli walitokea hapa....

Kijiji cha Ipole Sikonge ndipo alipozaliwa na kuzikwa Mwanamapinduzi nguli... Oscar Kasangatumbo (R.IP) ambaye alikuwa miongoni mwa waasisi wa mageuzi nchini 1992 kwa kuanzisha chama cha UMD na wapigania demokrasia ya kweli tangu enzi za Mwalimu.

Alipata misukosuko mingi sana, kunyanganwa passport, kuibiwa ngombe zake zote na kuwa grounded kwamba asitoke nje ya mji wa Tabora bila idhini ya IKULU baada ya kutuhumiwa kupinga SERA za TANU za ukandamizaji wa uhuru wa kidemodrasia.

Karibu sana, Tabora ndiyo ilipo mizizi wa siasa za Upinzani na watetezi wa haki za binadamu - Tanzania.

Jioni waambie wenyeji hapo wakupatie Ugali na mboga ya nsansa iliyoungwa kwa tui la karanga.... chakua hiki huwa ni speical kwa wageni maalum kama wewe.

Karibu tena Tabora - Rais wetu.
 
Kamanda mwenzangu Lissu anapoteza muda,bora tujenge kwanza chama chetu,hapati hata kura laki 2
Kushiriki kampeni si ndio mojawapo ya njia ya kukieneza chama? unafikiri TLP inafahamika nje ya VUNJO na sababu ni kutosimamisha wagombea sehemu mbalimbali
 
Back
Top Bottom