Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu Mkoani Ruvuma

I
Wakuu natanguliza salamu , Ikumbukwe kwamba tumebakiwa na siku 3 tu za kampeni ambapo baada ya hapo ni Uchaguzi wa kihistoria ambao unakwenda kukata minyororo ya utumwa waliyofungwa Watanzania kwa miaka mingi sana , uongozi ujao wa Tundu Lissu unakuja kuondoa utumwa na kurejesha Uhuru na haki kwa wananchi , sina shaka na ushindi wake .

Leo Mh Lissu atakuwa Mkoani Ruvuma , ambako atavurumisha mikutano kadhaa , na kama kawaida yetu tutakuletea kila kinachojiri .

Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika.

=========

Tunduru

View attachment 1610535View attachment 1610536View attachment 1610537View attachment 1610538View attachment 1610539
Usiwe unatutrlekeza sasa. Full updates
 
Kwani wewe unaelewa live maana yake ni nini?.Au unataka kusema huyo lisu hayuko uko paliposemwa yuko live.Maana mimi najua hiyo live inamuhusu muhusika anayesemwa kua yuko eneo husika kiualisia.Live ni kitu kinachofanyika,kutendeka au kilichopo eneo hilo kwa wakati huo.Sasa hebu lete nawewe hiyo maana yako tuijue.
Tatizo ni pale unaposema live na kuweka link iliyokufa au isiyokuwepo.
 
Wakuu natanguliza salamu , Ikumbukwe kwamba tumebakiwa na siku 3 tu za kampeni ambapo baada ya hapo ni Uchaguzi wa kihistoria ambao unakwenda kukata minyororo ya utumwa waliyofungwa Watanzania kwa miaka mingi sana , uongozi ujao wa Tundu Lissu unakuja kuondoa utumwa na kurejesha Uhuru na haki kwa wananchi , sina shaka na ushindi wake .

Leo Mh Lissu atakuwa Mkoani Ruvuma , ambako atavurumisha mikutano kadhaa , na kama kawaida yetu tutakuletea kila kinachojiri .

Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika.

=========

Tunduru

View attachment 1610535View attachment 1610536View attachment 1610537View attachment 1610538View attachment 1610539

Bora afike huko kulikosuswa toka enzi za TANU na CCM nao wakaendeleza. Sijui ni kwa kuwa walitoka watu wanaojielewa kama Oscar Kambona, Lifa Chipaka, Maiko Kamaliza, Gray Mataka na wengineo.

Kwa sasa tumejikuta tumebaki na akina Stela Manyanya!
 
Songea :

Subpost 2 - Balaa la Songea na hapa ni kabla ya @tunduantiphaslissu ajawasili... ( 480 X 640 ).jpg
Subpost 1 - Balaa la Songea na hapa ni kabla ya @tunduantiphaslissu ajawasili... ( 480 X 640 ).jpg
 
Wakuu natanguliza salamu , Ikumbukwe kwamba tumebakiwa na siku 3 tu za kampeni ambapo baada ya hapo ni Uchaguzi wa kihistoria ambao unakwenda kukata minyororo ya utumwa waliyofungwa Watanzania kwa miaka mingi sana , uongozi ujao wa Tundu Lissu unakuja kuondoa utumwa na kurejesha Uhuru na haki kwa wananchi , sina shaka na ushindi wake .

Leo Mh Lissu atakuwa Mkoani Ruvuma , ambako atavurumisha mikutano kadhaa , na kama kawaida yetu tutakuletea kila kinachojiri .

Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika.

=========

Tunduru

View attachment 1610535View attachment 1610536View attachment 1610537View attachment 1610538View attachment 1610539

CCM - Lowasa huwezi gombea urais, mwache Jakaya apeperushe bendera ya chama chetu. Lowasa atakua waziri mkuu👍

CHADEMA - Jakaya dhaifu, tunataka rais mwenye maamuzi magumu😍
- Lowasa fisadi tena fisadi papa. Ajiuzuluuuuu aondokeeee hatufaiiiii anauza nchiiii😍😍

CCM - Jakaya anamaliza muda wake, Lowasa anataka kupeperusha bendera lakini hatufai... hata kama wajumbe wamempitisha kwa maslahi mapana ya taifa na kwa vizazi vijavyo tumkate Lowasa tumpe John Pombe Magufuli😁👍

CHADEMA - Lowasa ni kiongozi shupavu sana. Inabidi tumwombe ahamie kwetu, tumpe nafasi agombee urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania. Tena atakuja na mtaji wa watu na pesa. Tutashinda🤔👎

CCM - John Pombe Magufuli ameshinda na ndie rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania😍🍹🍸💃👍

CHADEMA - John Pombe Magufuli hafai, hashauriki, ana maamuzi magumu sanaaaa😆👎

CCM - Tanzania ni tajiri sana,wananchi tuchape kazi.Tujenge mashule, mahospitali, barabara,viwanda👍

CHADEMA - Serikali haijali wananchi. Serikali inajali maendeleo ya vitu na sio watu👎

CCM - Bila kuijenga madarasa watoto wetu watasoma wapi, bila hospitali mtatibiwa na bila bararabara mtapita wapi. Hakuna maendeleo ya vitu bila watu👍

CHADEMA - Tutawasemea kwa Amstadam mnatuonea, tutamwambia hatutaki barabara, wala mahospitali, wala mashule wala viwanda. Sisi tunataka maendeleo ya watu🤣👎👎

WATANZANIA - Nyie CHADEMA msituchezee, mmetuona watoto wadogoooo. Tunasema 5tena kwa John Pombe Magufuli tarehe 28.10.2020. Hakuna wa kumshinda Magufuli😍🇹🇿😍👍👍👍👍

Heri kujiunga DECI kuliko kujiunga chadema BAK
 
umeandika uchafu gani ?
 
umeandika uchafu gani ?

Nimeandika uchafu wa CHADEMA
CHADEMA ni uchafu mtupu

Narudiaaa

Heri kujiunga DECI kuliko kujiunga chadema
 
CCM - Lowasa huwezi gombea urais, mwache Jakaya apeperushe bendera ya chama chetu. Lowasa atakua waziri mkuu

CHADEMA - Jakaya dhaifu, tunataka rais mwenye maamuzi magumu
- Lowasa fisadi tena fisadi papa. Ajiuzuluuuuu aondokeeee hatufaiiiii anauza nchiiii

CCM - Jakaya anamaliza muda wake, Lowasa anataka kupeperusha bendera lakini hatufai... hata kama wajumbe wamempitisha kwa maslahi mapana ya taifa na kwa vizazi vijavyo tumkate Lowasa tumpe John Pombe Magufuli

CHADEMA - Lowasa ni kiongozi shupavu sana. Inabidi tumwombe ahamie kwetu, tumpe nafasi agombee urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania. Tena atakuja na mtaji wa watu na pesa. Tutashinda

CCM - John Pombe Magufuli ameshinda na ndie rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania

CHADEMA - John Pombe Magufuli hafai, hashauriki, ana maamuzi magumu sanaaaa

CCM - Tanzania ni tajiri sana,wananchi tuchape kazi.Tujenge mashule, mahospitali, barabara,viwanda

CHADEMA - Serikali haijali wananchi. Serikali inajali maendeleo ya vitu na sio watu

CCM - Bila kuijenga madarasa watoto wetu watasoma wapi, bila hospitali mtatibiwa na bila bararabara mtapita wapi. Hakuna maendeleo ya vitu bila watu

CHADEMA - Tutawasemea kwa Amstadam mnatuonea, tutamwambia hatutaki barabara, wala mahospitali, wala mashule wala viwanda. Sisi tunataka maendeleo ya watu

WATANZANIA - Nyie CHADEMA msituchezee, mmetuona watoto wadogoooo. Tunasema 5tena kwa John Pombe Magufuli tarehe 28.10.2020. Hakuna wa kumshinda Magufuli

Heri kujiunga DECI kuliko kujiunga chadema BAK
Mama D my love upo

Habari yako
 
Back
Top Bottom