Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Katavi na Kigoma, azungumzia Katiba Mpya

umekuja kufanya nini sasa ?
View attachment 1574697
Kura za mwaka huu nimeamin zinaweza kwenda vunja record tangu vyama vingi kuwepo,kwa lissu watu wanajimwambafai tu ,lissu kaisha shindikana na tiyari amekua tishio Yani mwanaume anapatua katikati ya adui na wanapoteana balabala inabaki nyeupe ,hiki sio kimbunga Tena lissu 2020 Bali ni balaa
Ccm tulisema msijiamin vya kutosha Bali jipange uchaguzi huu mgum ,mkaendelea na kejeli Sasa ngoma imechanika haya mnatokaje mwaka huu,? Maana elewa Kama Hali iko ivi round ya mwisho itakua mbaya Sana ,itapigwa kampeni ya kufa mtu Tim mahalum ya kampeni chadema itaingia mzigoni ,
 
CHADEMA angalieni mtu wenu Lisu anachosema hapo kigoma badala ya kunadi wagombea wa CHADEMA wa ubunge na udiwani angalieni anachonadi anasema wamchague mbunge au diwani yeyote atakayeishinda CCM!! Ina maana wachague yeyote awe ACT WAZALENDO,CUF CHAUMA au yeyote je hiki nyie CHADEMA ndicho mlichomtuma mgombea uraisi wenu Tundu Lisu akinadi? Hamkumtuma aende kunadi wagombea wa CHADEMA? Zanzibar aliacha mgombea Uraisi wa CHADEMA zanzibar akaanza kumnadi Maalim Seif kuwa ndie achaguliwe!!!!

Kafika Kigoma anataka Kigoma wamchague yeyote yule hanadi wagombea wa CHADEMA!!!!

Mbowe sitisha kugharimia hizo kampeni zake unapoteza pesa bure ila kama anajigharimia haina shida wacha aendelee kuteketeza pesa zake

Mbowe huna mgombea uraisi huna
Mwaka huu dada jamaa atatujambisha cheche tuwe wapole tu!
 
Mwaka huu mkuu Sisi CCM mpaka tujambe cheche jamaa kinatupeleka kama tuko kwenye gari bovu! Tulitaka kuliharibia mkutano pale Kigoma lakini limetufunika! Tuwe wakweli CCM pumuzi yetu inakata!
Pole kada ,ndo matatizo ya dunia vumilia na mungu akupe ujasili mkuu ,watu usema dunia inaenda Kasi ,upepo wa mh lissu ni mungu ndo anajua
 
Pole kada ,ndo matatizo ya dunia vumilia na mungu akupe ujasili mkuu ,watu usema dunia inaenda Kasi ,upepo wa mh lissu ni mungu ndo anajua
Yaani wewe acha tu! Ina maana mwenyekiti wetu pamoja na mbinu za kubumba tukio la kitaifa pale Kigoma raia walikimbilia kwa Lissu? Kweli Lissu ametukamata! Hiyo nyomi siyo ya kawaida!
 
Ko unaamin Lissu ndo atafanya hayo😀😀😀 mbona mnakuwa manipulated kiboya Sana wazee,
Tabia utofautiana, uenda mabadiliko yakawepo kama kutotaifishiwa mazao, kulipa wazabuni mbalimbali kwa wakati, najifuza Nchi inaendeshwa kulingana na tabia ya mtu!
 
Chadema sera wameandika wenyewe mojawapo Ni ya katiba mpya

Chadema wanashindwa kabisa kueleza swala la katiba mpya ,katiba mpya huandikwa Nchi ikipata Uhuru baada ya hapo hufanyiwa marekebisho tu haitwi katiba mpya!!

Kilichopo ni marekebisho ya katiba wao wanasema Ni katiba mpya!!!!!

Sera muandike wenyewe Halafu kufafanua zinawashinda

Chadema hawakujiandaa kugombea uraisi
 
Kikichopo Ni marekebisho ya katiba wao wanasema Ni katiba mpya!!!!!

Sera muandike wenyewe Halafu kufafanua zinawashinda
Katiba Mpya baada ya watu kupata ufahamu wa kutosha
 
Chadema sera wameandika wenyewe mojawapo Ni ya katiba mpya

Chadema wanashindwa kabisa kueleza swala la katiba mpya ,katiba mpya huandikwa Nchi ikipata Uhuru baada ya hapo hufanyiwa marekebisho tu haitwi katiba mpya!!

Kikichopo Ni marekebisho ya katiba wao wanasema Ni katiba mpya!!!!!

Sera muandike wenyewe Halafu kufafanua zinawashinda
Serikali dhalimu na Dikteta huwa wanafanya nchi na wao kama serikali na kiongozi kuwa kitu kimoja Eti ukimkosoa dikteta umekosoa nchi Ukipinga sera za serikali, we msaliti wa nchi Kiuhalisia unaweza kupinga serikali, kiongozi na kwa kufanya hivyo ukawa mzalendo
 
Chadema sera wameandika wenyewe mojawapo Ni ya katiba mpya

Chadema wanashindwa kabisa kueleza swala la katiba mpya ,katiba mpya huandikwa Nchi ikipata Uhuru baada ya hapo hufanyiwa marekebisho tu haitwi katiba mpya!!

Kilichopo ni marekebisho ya katiba wao wanasema Ni katiba mpya!!!!!

Sera muandike wenyewe Halafu kufafanua zinawashinda

Chadema hawakujiandaa kugombea uraisi

AliyeanIsha mchakato wa Katiba alikuwa Kikwete. Kwani Kikwete ndiyo Chadema?

Majitu mengine bana huwa yanakurupuka tu.
 
Back
Top Bottom