Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Katavi na Kigoma, azungumzia Katiba Mpya

Kigoma Mjini :
 

Attachments

  • Subpost 2 - Mapokezi ya mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia ( 352 X 640 ).mp4
    3.8 MB
maneja kampeni wa lissu, nakukumbusha tena ,usisahau kumkumbusha lissu, atakapo fika kanda ya ziwa asisahau kuzungumzia kuhusu kitendo cha magufuri na serikali yake kuchoma zana za uvuvi pamoja na mitumbwi yao ameshiriki kuwafilisi wavuvi
Akifika wapi😂🖕? Kanda ya ziwa mbona Ni Kama ameshapita?
 
19 September 2020
Kigoma ,Tanzania

Tundu Lissu 2020 : Kigoma yenu ni ngome ya upinzani toka 1995 , hongereni sana


Sisi CHADEMA na mie Tundu Lissu tunakuja kwa unyenyekevu kutokana na Kigoma kuwa mstari wa mbele kuongoza mageuzi.

Kwa hivyo katika uchaguzi huu wa kihistoria tunawaomba muendelee kutuongoza katika kuingoa CCM 2020.
c.c Erthrocyte
 
Back
Top Bottom