Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mikoa ya Kagera na Geita

Siasa na mpira wapi na wapi.

Yote ni mashindano tu. Mm nimetumia lugha ya ulinganisho tu hapo. Kwakuwa akili ni kisoda huwezi jua nlimanisha nn? Unaposema Lissu anajisumbua wakati wote wanashindana hapo ni kuonesha ulivyo kanjanja . Kwann huyu mmoja ajisumbue na mwingine asijisumbue wakati wote wanashindana.

Embu kuwa na akili kidogo. Hujasoma hata ka literature kidogo. Mpira umetumika kama lugha ya picha hapo
 
Kuleni naye hata bangi vuteni naye mwenzenu nimezaa naye, haya ndio maneno ya mwanaume anayejihami bila hofu pindi anapopata taarifa za majirani ambao hawana uwezo wa kuimarisha familia zao.
 
Kilichobaki CHADEMA tujipange kuhakikisha mawakala wetu hawakatwi siku ya kusimamia uchaguzi! Huu ndio mkakati uliobaki wa ma-ccm kuiba kura. Mchepuko wangu "ke" ni mgombea Ubunge CCM jimbo ananiambia mbinu zote wanazopanga kuzifanya siku ya uchaguzi! Anakubali kweli chama chao kina hali mbaya mpaka sasa hivi!
 
Eti anapewa Asilimia kubwa kuwa Rais! Mkuu pamoja na kisomo chako na uelewa wako unaweza kuzungumza upotolo kama huu?
Hata kama una huba na mahaba uwe serious kidogo basi.
Vipi Dr bashiru au JPM nakisomo chao wanawndeleaje
 
Swali lako ni zuri lakini majibu wanayo hawa wafuatao .

View attachment 1575848

Kama una akili timamu utakuwa umeelewa

Na hawa wajiangalie sana mwaka huu. Njaa zao zitapelekea mwisho wa uhai wao na familia zao. Uchakachuaji wowote wa kura za wananchi ni mauti yao. Huu ni uchaguzi wa kipekee kabisa. Kwa maneno ya Maalim Seif "ukhanithi huu sasa BASI".
 
Mkuu sanduku la kura ndio huamua yote, wanaomlalamikia JPM wapo lakini wanafahamika kwa makundi.
Lowasa aliungwa mkono kuliko Mrema, kuliko Tundu Lissu leo.
tofauti na hizo chaguzi nyingine na huu ni kwamba hakutaruhusiwa majizi yaliyozoea kuiba kura. Tofauti nyingine Lowasa alishinda wakamtangaza magufuli akaogopa kukinukisha this timeTundu atashinda na atatangazwa.
 
..Geita ni ngome ya Magufuli.

..hakuna anayetegemea Tundu Lissu au CDM watafanya vizuri ktk mkoa huo.

..lakini ni lazima kupiga kampeni mikoa na maeneo yote, huwezi kuwatenga wananchi wa Geita.
Sikweli,

Uchaguzi wa 2015 Magufuli aliongoza kwa margin ndogo sana ya kura mkoa wa Geita.

Kalemani na Mgombea wa CHADEMA walikuwa na tofauti ndogo sana ya kura za ubunge pale chato.

Kumbuka chato pekee uchaguzi wa serikali za mitaa 2014 chadema walichukua 98% ya mitaa yote wilaya ya chato ikiwemo mtaa anaokaa Magufuli.

Busanda ni jimbo ambalo CHADEMA walikuwa na nguvu kubwa sana toka uchaguzi mdogo na uchaguzi mkuu mpaka wakamuua Alphonce Mawazo, na sasa hivi limeongezeka jimbo la Geita mjini ambalo kuna uwezekano mkubwa sana CHADEMA kulichukua.

Kikubwa zaidi kanda ya ziwa tofauti na uwanja wa chato wa ndege hakuna kingine kilichofanyika Chenye tija kwa wananchi pamba walikopwa, maji ndiyo usiseme wamezungukwa na ziwa lakini hawana maji

Hivyo kuna uwezekano wa kupata kura nyingi tu personally naamini Lissu atabeba kura zaidi ya laki 3 mkoa wa Geita..
 
Sio yule aloenda nyumban kwao kuuchapa usingizi kwa siku kadhaa kisha akaibukia bkb na kuzomewa??
Kuna mgombea wa chama kimoja yupo hoi, pumzi ishakata anaomba muda wa kampeni uishe !! maji ya shingo.
 
Back
Top Bottom