alikuwa anaandaa tallying centreNimeshangazwa sana na ujio wa mtu huyu
Ngoja tumalize kazi ya kudhibiti VITUO HEWA vya kupigia kura, utafunga tu hilo domo lako mwenyewe. CCM must goAlishindwa Lowasa sembuse na wewe. Endeleo kula Maisha huko ng'ambo.
Kazi ipoMkuu Brit
Wewe unajua Sana mambo ya ndani ya CCM,
Tuambieni je kuna happy gani huko ndani?
Wana matumaini au wamekata tamaa.
Je wakishirikiana wako Tayari kukabidhi kijiti kwa hiari?
Je wanaamini katika kushindwa?
Maswali yangu Ni hayo tu Mkuu.
Lissu is well prepared! Na atashinda.Lissu ameji overdose sana na hii campaign. Ndio maana nadhani hataki wizi utanyike maana nguvu nyingi kapoteza na inaonekana km mpigania dini flani wale waliotayari kufa kwa haki.
Ndio maana haogopi.
Huyu jamaa kaamua aisee.
Hakikaccm wanajua hawapendwi!
Bila hila, wizi na udhulumati kamwe hawawezi kushinda!
Mafuriko haya ni nchi nzimaUwanja wa Mpilipili-Lindi ulichafuka hasa, sikuwahi kuuona huu upendo kwa Lissu kutoka kwa wananchi!
Plan B iliyobuma ilikuwa vituo hewaJiwe ajiandae kurudi Chato.
Matusi ni nini ?Pwani aje kwa nidhamu hatutaki matusi
Njoo binti nikugegede basi naona unawashwawashwa!Jamani leo nimejikwaa wakati naingia kwenye gari yangu. Haya wewe Tundu Lissu si ndiyo Mfariji, naomba nifajiri basi kwa kuumia kidole gumba.
Malalamiko FCWito - Fichueni vituo hewa popote vilipo.