Come27
JF-Expert Member
- Dec 1, 2012
- 7,490
- 7,090
Kijana ulikuwa wapi?Kaitampunuu ogambe bakootege
Kijana ulikuwa wapi?Kaitampunuu ogambe bakootege
Ndio Maana walikuwa wakimtesa na kumfunga kumpiga risasi kumbe Waisilamu wanampenda sana huyu Sheikh.Shehe Ponda ndio anaenda kuifukia ccm huko kilwa masoko na kivinje
Sheikh Ponda anasimamia haki,anasimama na wananchi/waislamu lazima serikali imchukie.Ndio Maana walikuwa wakimtesa na kumfunga kumpiga risasi kumbe Waisilamu wanampenda sana huyu Sheikh.
Bana weeee nilikuwa napiga hesabu kila sehemu atumie lisaa limoja naona mizani haibalance.Anafanya mikutano au anapita tu kusalimia kuuza sura
Alishindwa Lowasa sembuse na wewe. Endeleo kula Maisha huko ng'ambo.CCM Must Go
Asee hata Mimi nimeanza kukuelewa huyu Sheikh, Nimemuelewa kuwa ana elements za harakati lakini pia ana ushawishi mkubwa kwa dini yake..Ndio Maana walikuwa wakimtesa na kumfunga kumpiga risasi kumbe Waisilamu wanampenda sana huyu Sheikh.
Naona kuu la mashoga umepanic unaanza kukata uno kabla ya hata msumari kuzamaEti atashinda 70%!! how pathetic!! anyway ni mawazo ya mashoga hayo.
Kanyaga twende TL. Mungu akutangulie.Wakuu ikiwa hii ni wiki ya lala salama, bado yule mgombea anayependwa nchi nzima na anayekadiriwa kushinda kwa zaidi ya 70% Tundu Lissu anaendelea kuomba kura kwa wananchi wenzake, ambapo leo atafanya mikutano kadhaa kwenye maeneo mbali mbali ya mikoa ya Pwani, Mtwara na Lindi.
Endelea kubaki hapahapa JF kwa Taarifa za uhakika
==========
Hii sindano subiri dawa iingieEti atashinda 70%!! how pathetic!! anyway ni mawazo ya mashoga hayo.
Yesu na Maria Acha kuishi kwa mazoea mamaa anguAlishindwa Lowasa sembuse na wewe. Endeleo kula Maisha huko ng'ambo.
Mzalendo wa kweliAmekiri kuwa anayo tiketi ya kwenda kuelekea Brussels...sisi tutamchagua JPM kwa kura nyingi.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Asee hata Mimi nimeanza kukuelewa huyu Sheikh, Nimemuelewa kuwa ana elements za harakati lakini pia ana ushawishi mkubwa kwa dini yake..
Ninachoshangaa nikuwa hajasapoti Cuf Bali chadema Ni wazi ana malengo ya Dhati siyo Ushabiki.
EBANAEEEEE!!! kumbe MEKO ni MURUNDI!!!!!! sikia hiiii ya huyu dogo!!Wito - Fichueni vituo hewa popote vilipo.
Mikutano ya Magufuli saa 12 watu wamejaa uwanjani!! Mikutano ya Tundu Lisu haijawahi kufata muda maana anabembelezea wapita njia!! Wapita njia wakijaa ndio na picha zinapigwa na ndipo mgombea anaingia. Chezea CCM weweeee!! Halafu mseme mmeibiwa kwa kuvizia wapita njia.
Wanajaa mapema wapate nafasi ya kuwaona vizuri wasanii,kama mnajiamini jaribuni kufanya mkutano hata mmoja bila wasanii afu utuketee mrejesho
Amina kubwaMungu ampe nguvu ,dunia itamkumbuka shujaa huyu mikutano 10 kwa siku si mchezo hata kidogo